Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

Ukweli unauma ndiyo, ila unaponya

Unahisi tatizo ni nini.!? Ni bado hatujastaarabika ama.!!?
Nadhani hiyo inaweza kua sababu kubwa.Ndo maana ukimkuta mtu aliyestaarabika anakua na mawazo huru zaidi kuliko yule ambaye bado.Ndo maana utaona kwa mfano mtu kusema samahani pale anapokosea mara nyingi inatolewa na mtu aliyestaarabika.
 
absolutely..!!
Umenena vyema sana...
 
Ukiwa mnunaji Sana bwana Wako atakugeza tu nAye ataanza kununa.
Au umeupata mwanaume aliyedekezwa kwao
Haha, nimekuelewa sasa..!
Na sipendi mwanaume anayenuna nuna ovyo jamani.
 
Back
Top Bottom