Ukweli usemwa Maamuzi yenye utata ndio yaliyoirudisha kwenye reli Yanga .

Ukweli usemwa Maamuzi yenye utata ndio yaliyoirudisha kwenye reli Yanga .

Kwa hoja yako hiyo unamanisha hayo makosa ya kibinadamu unayoyasema ndo yamembeba yanga mpaka kupata point 32 kutoka point 0.5 kwenye rank za CAF makosa hayo hayo ndo yamembeba kupanda nafasi kutoka nafasi ya 78 msimu wa 2020/2021 mpaka nafasi ya 13 msimu wa 2023/2024 ifike hatua tukubali kwa sasa Yanga ni club bora sana ya mpira wa ukanda wetu
Usiwashitue...wajekushituka tayari Yanga bingwa
 
Back
Top Bottom