Ukweli usemwe: Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson

Ukweli usemwe: Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20240620_160616.jpg
Najua ni ngumu kusema huu ukweli na kueleweka sababu watu wanakalili na wanarithishwa dhaania.

Michael Jackson ni msanii mkali sana na anaheshimika mno kutokana na mambo aliyofanya kwenye entrainment duniani.

Lakini hajawai na hawezi kufikia talent aliyonayo Chris Brown.

Hii dunia haijawai kuwa na mwanamuziki mwenye talent ya hali ya juu kumzidi Chris Brown.

Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson.
 
View attachment 3021741
Najua ni ngumu kusema huu ukweli na kueleweka sababu watu wanakalili na wanarithishwa dhaania...
Duh! Ningeweza kujua umri wako, labda ningeweza kujua ni kwanini unawaza hivi. Maana umri nao ni nyakati.

Zingatia; Michael Jackson kaishi kama staa mkubwa tangu akiwa na umri wa miaka mitano hadi kifo chake.

Ova
 
So point yako ya msingi ni umri wangu?
Sio MJ kamzidi nini Chris Brown?
 
Back
Top Bottom