Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
MICHAEL JACKSON THE KING OF POP 😃😃😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah na wewe Muongo jamaa wewe🤣🤣🤣🤣.Mwanafunzi anakuwaje mkali kuliko mwalimu wake.
Chris alikuwa dansa wa Wacko Jackson
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa had baas, kigagulaaa utuliee.Wewe umekalilishwa, hata nyimbo tano za Michael Jackson huzijui wewe ni mtu wa vigodolo [emoji23][emoji23]
Check pana nyimbo za wacko kadance naeCB hajawai kuwa dansa wa MJ
Wewe mwenye umri mkubwa Michael Jackson umemjua kwa njia ipi? Umeishi nae? Ushawai kumuona?inawezeka wewe ni mtoto mdogo sana, michael jackson unamjua kwa jina na kwa kumgoogle.
Kamzidi kila kitu mkuu, hakuna mahali CB alikoweza kumsogelea MJ. Ni humu tu JF hawakucheki kwa kuleta hoja hii, kwingine utachekwa.So point yako ya msingi ni umri wangu?
Sio MJ kamzidi nini Chris Brown?
Aibu naona mm🤣🤣🤣🤣🤣Check pana nyimbo za wacko kadance nae
Hao MJ walikuwa wanasoma story zake kwenye gazeti la mzalendo alafu wanajifanya wanamjua sana talent wiseDaaah na wewe Muongo jamaa wewe🤣🤣🤣🤣.
Ni mara moja CB alikutana na Mj, tena backstage wakati wa performance ya thriller. Ilikua tribute performance, na hawakuwahi kukutana tena. Na siku ana perform Alikuwepo pale London bwana MJ. Sasa jiulize haawajawahi kutana marekani, wamekuja kukutana london. Tena show aliyoandaa michael ili vijana wacheze. CB alikua tu na miaka 17.
Na inawezekana ni kama ile stry ya kibongo kwamba jamaa kabla hajafa tulichat sana week iliyopita. 🤣🤣🤣🤣
Jamaa CB hajawahi kuwa dancer wa MJ. Bali ni idol wake
Huu ukweli umesemwa na wengi ikiwemo 50 cents na Fat JoeHuu ni utovu mkubwa sana wa nidhamu.
Unatafuta laana Sele...View attachment 3021741
Najua ni ngumu kusema huu ukweli na kueleweka sababu watu wanakalili na wanarithishwa dhaania.
Michael Jackson ni msanii mkali sana na anaheshimika mno kutokana na mambo aliyofanya kwenye entrainment duniani.
Lakini hajawai na hawezi kufikia talent aliyonayo Chris Brown.
Hii dunia haijawai kuwa na mwanamuziki mwenye talent ya hali ya juu kumzidi Chris Brown.
Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson.
Ndio mimi nilimuona michael jackson pale sinza mori salon moja hivi alikuwa anawekwa kalikit. Wewe umemuona wapi??Wewe mwenye umri mkubwa Michael Jackson umemjua kwa njia ipi? Umeishi nae? Ushawai kumuona?
Chris Brown talent yake ni kubwa sana mj hagusi, anachozidi ni kuchonga pua awe kama mzunguKamzidi kila kitu mkuu, hakuna mahali CB alikoweza kumsogelea MJ. Ni humu tu JF hawakucheki kwa kuleta hoja hii, kwingine utachekwa.
Ova
Huna akiliNdio mimi nilimuona michael jackson pale sinza mori salon moja hivi alikuwa anawekwa kalikit. Wewe umemuona wapi??