Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
MR NICE WA SASA HUYONajua ni ngumu kusema huu ukweli na kueleweka sababu watu wanakalili na wanarithishwa dhaania.
Michael Jackson ni msanii mkali sana na anaheshimika mno kutokana na mambo aliyofanya kwenye entrainment duniani.
Lakini hajawai na hawezi kufikia talent aliyonayo Chris Brown.
Hii dunia haijawai kuwa na mwanamuziki mwenye talent ya hali ya juu kumzidi Chris Brown.
Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson.