Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Unataka kutudanganya kwamba tumekairirishwa wakati wote tunawaona, acha hizo mambo we jamaa, kama unaona Chris brown ni bora bac hio ni preference yako lakini usitake kulazimisha wengine kwa kusingizia tumekaririshwa, hapana wote tumewaona na ukweli unajulikana nani ni bora, hata Chris brown ukimwambia yeye ni bora kuliko MJ atakukataa.Najua ni ngumu kusema huu ukweli na kueleweka sababu watu wanakalili na wanarithishwa dhaania.
Michael Jackson ni msanii mkali sana na anaheshimika mno kutokana na mambo aliyofanya kwenye entrainment duniani.
Lakini hajawai na hawezi kufikia talent aliyonayo Chris Brown.
Hii dunia haijawai kuwa na mwanamuziki mwenye talent ya hali ya juu kumzidi Chris Brown.
Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson.