sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Au wa bongo yule?Michael Jackson huyu wa Marekani??
Ukikalilishwa huwezi nielewaMichael Jackson huyu wa Marekani??
CB hajawai kuwa dansa wa MJMwanafunzi anakuwaje mkali kuliko mwalimu wake.
Chris alikuwa dansa wa Wacko Jackson
Labda kama unazungumzia kujichubua.Hebu acha kumfananisha Michael Jackson na vitu vya ajabu ajabu.
Wewe umekalilishwa, hata nyimbo tano za Michael Jackson huzijui wewe ni mtu wa vigodolo 😂😂Kigagulaa unazeeka vibayaaa weyeee!! Uwage buzzy kumsifia domokayaa hapo madale, mambo ya mambelee sio level yako kabisaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Ningeweza kujua umri wako, labda ningeweza kujua ni kwanini unawaza hivi. Maana umri nao ni nyakati.View attachment 3021741
Najua ni ngumu kusema huu ukweli na kueleweka sababu watu wanakalili na wanarithishwa dhaania...
Duh Eminem hata level za kina Elvis Presley hajafika. Wewe unamjua Bonnie Jovi?
Acha mihemko dogo..!View attachment 3021741
Najua ni ngumu kusema huu ukweli na kueleweka sababu watu wanakalili na wanarithishwa dhaania.
Michael Jackson ni msanii mkali sana na anaheshimika mno kutokana na mambo aliyofanya kwenye entrainment duniani...
So point yako ya msingi ni umri wangu?Duh! Ningeweza kujua umri wako, labda ningeweza kujua ni kwanini unawaza hivi. Maana umri nao ni nyakati.
Zingatia; Michael Jackson kaishi kama staa mkubwa tangu akiwa na umri wa miaka mitano hadi kifo chake.
Ova