sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.
Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".
Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.
Lawama zote kwa bwana yule.