Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.

Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".

Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.

Lawama zote kwa bwana yule.
Duu bado unapambana na Marehemu aisee , ???
 
Una tatizo la akiiwewe. Sasa unapotuambia sisi itasaidia nini? Kwanini usingesema kabla hajaaga.. dunia?
 
Completely off point. Aya yangu ya kwanza inasimama kama ilivyo na ya pili inaiimarisha. Kama hujui nafasi ya nukuu zenye msingi wa kimantiki duniani sio tatizo langu.

Aidha, hakuna mwenye akili asiyejua kuwa hapa Tanzania mwenyekiti wa CCM ndiye mwenye sauti juu ya wananchi na si kinyume chake. Anachotaka ndio kinakuwa; asichotaka hakiwi.
Hongera kwa kuelewa kuwa ccm ndio yenye mamlaka ya nchi hii
 
Back
Top Bottom