Waliolisi wamezidi kiwango hatari sanaMagufuli alikua anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.
Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".
Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.
Lawama zote kwa bwana yule.
Sasa ukimlaumu mpiganaji Magufuli itakusaidia nini?,tuangalie tunatatua vipi mambo yaliyopo kwa wakat husika,achana na mfuHayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.
Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".
Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.
Lawama zote kwa bwana yule.
Lakini alifanya mambo yaliyowafanya watanzania wenyewe wamsifie.Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.
Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".
Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.
Lawama zote kwa bwana yule.
Kwa kiwango kidogo,ila awamu ya 5 ndio uchawa ulipata kibali rasmi kwa mpenda sifa. Na Sasa Samia ameamua kufuata approach ile ile japo yeye sio dhalimu kama bwana yule.CHAWA walianza awamu ya 4 🐼k
'Aliwashinda akiwa hai na sasa anaendele kuwashinda akiwa kaburini'.Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.
Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".
Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.
Lawama zote kwa bwana yule.
UPO SAHIHI NA SASA NI MWENDELEZO KWA KASI KUBWA NI HATARI KUWA NA VIONGOZI WAPENDA SIFAHayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.
Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".
Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.
Lawama zote kwa bwana yule.
Dhalim alikuwa mtu wa ovyo sanaHayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.
Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri".
Wapo waliotoka upinzani kwa kigezo cha "kuunga mkono juhudi" juhudi za magufuli ambazo zilionekana kua hakuna yoyote aliewahi kufika level zake za utendaji.
Lawama zote kwa bwana yule.
Hili ndio walinda legasi hawataki kulisikia
Watu mnajua kujivua akili,eti Jiwe alikuwa mzalendo🤔🤔🤔Huo ndo uchawa wenye manufaa. Sio huu wa kisemana bila kazi.
Hakutawhi tokea mwanasiasa mzalendo kama JPM.
Lazima asemwe hili kosa kama hili la kuwa na kiongozi dizain yake lisije jirudia. Na ndiye mwasisi wa watu wasiyojulikana na mwisho tukawa na viongozi kama Bashite na Saambaya'Aliwashinda akiwa hai na sasa anaendele kuwashinda akiwa kaburini'.
Muda wa kujadili maendeleo ama figisu zinazofanywa na walio hai ni huu, fungua akili yako.
Kujadili nambo ya marehemu asiyeweza kujitetea ni unyonge wa kiafrika wa kuabudu sanamu.
Kama alipenda sifa na mengine uliyoyasema na sasa hayupo, sisi linatuhusu nini jambo hilo kimaendeleo?
Siyo Watanzania,sema machawa. Hakuna mtu yeyote mwenye akili ambaye aliwahi kumsifia. Kama wabisha mtaje hata mmojaLakini alifanya mambo yaliyowafanya watanzania wenyewe wamsifie.
Hivi sasa hata wasanii wanapata shida kutunga nyimbo za kumsifia mama. sijui wanajistukia?
Asiposemwa huoni hatari ya kumpa Urais mtu kama yeye inaweza kuja kujirudia tena huko mbeleniSasa ukimlaumu mpiganaji Magufuli itakusaidia nini?,tuangalie tunatatua vipi mambo yaliyopo kwa wakat husika,achana na mfu