Ukweli usemwe hii yanga ni dhaifu sana, imekutana na vibonde tupu

Utopolo 'wangebeba' hili kombe la CAFCC, hii mada ungeanzisha kweli ?....
 
Umewahi kuliwa tunda kimasikhara?
 
Ilifika hatua wakaanza kukwepa kuita kombe la CAFCC wakaanza kuita Mashindano ya CAF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasa yule kalikonji aliyetoaga ufafanuzi murua kabisa wa hili kombe nae akajifyatua akili ghafla bin vuuuuuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…