Ukweli usemwe hii yanga ni dhaifu sana, imekutana na vibonde tupu

Ukweli usemwe hii yanga ni dhaifu sana, imekutana na vibonde tupu

USMA yuko hoi, hajiwezi anapumulia mashine anaweza hata kushuka daraja huyu ni mpinzani mwepesi sana ni aibu kushindwa kumfunga mtu kama huyu

Halafu unakosa Kombe kwa mpinzani kama huyo unafurahia kuvaa kamba shingoni[emoji57]

View attachment 2645519
Kuna mambo yanastaajabisha sana! Yaani udhaifu wa Yanga, eti unawaumiza mashabiki wa simba, ambao msimu mzima timu yao imetoka mikono mitupu!
 
Kwa mpira ule wa jana kweli Yanga ni mbovu na USMA nao ni wachovu. Simba angecheza na hivi vibonde Yanga n.k angekuwa anatandika goli 8 kila siku.
Mbona kashindwa kuanyakua kombe lolote kubwa ndani ya misimu miwili kea mashinadano aliyoshiriki ? Ingekuwa mashabiki wanojielewa hii Ingekuwa alama kubwa kuwa timu yao ni mbovu na inahitaji mabairesho kuliko kufocous na mpinzani.
 
dd4b9084-9e32-43f9-8f59-39a0a12ecd1e.jpg
 
Wana hasira mkuu angalia watakupiga vichwa
Yanga tupo na furaha... Makolo ndio mpo na makasiriko na ndio maana mada zote mnaazisha ninyi kuwananga wananchi... sisi tupo tunaangalia na kuwacheka hihihiiiii
 
usma alivyoshinda Dar Kwenye pitch yenye wingi wa utelezi mulisema yanga kakutana na waarabu wenyewe lakini kibao kilivyogeuzwa waarabu wakaponea chupu chupu huku hawaamini macho Yao na mafigisu Yao iwe ni kuwasha baruti na kupiga wachezaji wa yanga makofi , ngumi nk ndio unasema usma ni Kibonde.
Usma hajawahi kufungwa nyumbani kwake Hata kinara wa ligi ya Morocco alisalimu Amri hapo algiers
 
Maumivu yao ni makali mnoo..muwaache kwa muda...
Hawako na hali nzuri
 
Sijawahi kuona road to the final nyepesi kama hii. Yaani ni road iliyojaa vibonde tu.
 
USMA yuko hoi, hajiwezi anapumulia mashine anaweza hata kushuka daraja huyu ni mpinzani mwepesi sana ni aibu kushindwa kumfunga mtu kama huyu.

Halafu unakosa Kombe kwa mpinzani kama huyo unafurahia kuvaa kamba shingoni[emoji57]

View attachment 2645519
Hawawezi kukubali,hawa wangeingia FEDERATION ya msimu wa 2021-2022 wange imba ki handzabe.
 
Back
Top Bottom