Ukweli usemwe kesi ya Lissu kila mtu kaona ni mambo ya kisiasa sasa mkisema mmpe hukumu itageuka mambo ya kijamii na hamtozuia

Kama kuna kikundi kimepanga Lissu ahukumiwe tu reaction yake kwa jamii ni zaidi ya october 29 hilo watawala mjue so chezeni karata zenu yani mkimhukumu uyo mzee hamtamini kitakachotokea ni zaidi ya october 29
Hebu nenda kamtishe mumeo huko, Toka hapa?!!
 
Kama ana kosa atahukumiwa na nyie mashostito wenzake mkileta ujinga mtashughulikiwa ipasavyo kabisa.
 
Kama kuna kikundi kimepanga Lissu ahukumiwe tu reaction yake kwa jamii ni zaidi ya october 29 hilo watawala mjue so chezeni karata zenu yani mkimhukumu uyo mzee hamtamini kitakachotokea ni zaidi ya october 29
Huwezi kuitisha Mahakama isitoe hukumu sahihi kwa mhalifu wala kuitisha Serikali. Ngoja ahukumiwe na nchi itazidi kuwa na amani na hakuna kenge wala kimburu atayeleta fyokofyoko!
 
Sehemu pekee ya hii serikali kujisafisha kama gesture of good hope ya maridhiano ni kumwachia lissu huru kinyume na hapo mtumbwi tunazama wote.
Ameshafunga ushahidi. Kumuachia huru kulitakiwa kufanyike awali. Njia iliyobaki ya kimuachia huru ni kusubiri hukumu iwe kukutwa na hatia.
 
Hebu nenda kamtishe mumeo huko, Toka hapa?!!

Mwendawazimu kama wewe si vyema kuweka takataka zako hapa. JF ilianzishwa kwaajili ya wenye akili timamu, punguani kama wewe ulisukumwa na nini kujiunga JF?
 
Huwezi kuitisha Mahakama isitoe hukumu sahihi kwa mhalifu wala kuitisha Serikali. Ngoja ahukumiwe na nchi itazidi kuwa na amani na hakuna kenge wala kimburu atayeleta fyokofyoko!
Haya muhukumuni muone nyie mtamini mnamkomesha ila mtaibua hisia za watu mpaka mtashangaa maana watu wanaona utoto unaoendelea mahakamani sasa muhukumuni hamtoamini reaction ya watanzania
 
Hebu nenda kamtishe mumeo huko, Toka hapa?!!
Nyie jitekenyeni hamtoamini kitakachotokea muhukumuni muone watanzania watakavyoreact si mnaona watanzia mafala mkiwapiga risasi mkiwateka wataogopa sasa jueni watanzania washajua hatma yao ni kufa sasa je wanakufa nani hapo ndio patam mnazani mtawaua kama october 29 huo ujinga haupo tena mda huu mtauana nao
 
We fala kweli, jinga kabisa. Watanzania gani wahangaike na huyo mwenyekiti anayeminyikuwa juu midomo mahakamani wakati anawanyanyusha mikono nyie manyumbu kama punga?!! Hakuna mtanzania anayejielewa atafanya huo ufala. Ni minyumbu (michadema) tu michache isiyojielewa ndo inaweza kufikiria hilo hata hivyo, itazuiwa na vyombo vyetu tukufu vya ulinzi mara Moja kama mlivyozuiwa mwaka jana mkiwa na TEC yenu nyuma. Nyambaaaf!!!
 
Haya muhukumuni muone nyie mtamini mnamkomesha ila mtaibua hisia za watu mpaka mtashangaa maana watu wanaona utoto unaoendelea mahakamani sasa muhukumuni hamtoamini reaction ya watanzania
Hisia za watu gani? Oktoba 29 Kuna watu waliibuka. Wewe ulikuwa wapi mbona hukuibuka ukarambwa chumba au ukakamatwa?
Na mpaka sasa, eti watu wengine waliibuka. Wewe je? Pumbavu!!
 
Kama kuna kikundi kimepanga Lissu ahukumiwe tu reaction yake kwa jamii ni zaidi ya october 29 hilo watawala mjue so chezeni karata zenu yani mkimhukumu uyo mzee hamtamini kitakachotokea ni zaidi ya october 29
Utafanyake Keybor worrior? Maneno mengi mkiambia mtoke hamtoki, Wakenya huwa hawana maneno mengi, wana vitendo vingi kuliko maneno
 
Sehemu pekee ya hii serikali kujisafisha kama gesture of good hope ya maridhiano ni kumwachia lissu huru kinyume na hapo mtumbwi tunazama wote.
We waache watangetange
 
Back
Top Bottom