Ukweli usemwe kocha wa Yanga na viongozi ni maamuma

Ukweli usemwe kocha wa Yanga na viongozi ni maamuma

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Maamuma ni mtu mjinga asiye na akili kwa kufuata mawazo yake au Yale ya wengine..

Hilo kocha la Yanga kwa jina Pedro pamoja na viongozi wake , wote ni maamuma..Yaani kocha jinga linawachezaji 25+ ila linang'ang"ania walewale tu ..

Na viongozi waliojitwika Ufalme juha wapo wapo tu wananing'inia kama mapumbu ya mbuzi..

Manara akisema ukweli anajibiwa na chawa.. Nonsense!!!
 
Kwenye mpira wa miguu upepo huwa unakata tu
Nakubali kaka but hili hua linakuja baada ya kujaribu Kila mbinu ..wachezaji wengi wamechoka sababu ya mfululizo wa MECHI , ni kazi ya kocha kumanage kikosi, watu kama kina farid Musa, sure boy ,lassine Kouma, kibwana shomary, wanaweza kua mbadala wa waliochoka..hapo kocha Yanga sc hawana hacha nile bia
 

Attachments

  • 17741057601155392300721939606855.jpg
    17741057601155392300721939606855.jpg
    329.7 KB · Views: 20
Back
Top Bottom