mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Nakubali kaka but hili hua linakuja baada ya kujaribu Kila mbinu ..wachezaji wengi wamechoka sababu ya mfululizo wa MECHI , ni kazi ya kocha kumanage kikosi, watu kama kina farid Musa, sure boy ,lassine Kouma, kibwana shomary, wanaweza kua mbadala wa waliochoka..hapo kocha Yanga sc hawana hacha nile biaKwenye mpira wa miguu upepo huwa unakata tu
NakaziaKwenye mpira wa miguu upepo huwa unakata tu
Mpira wa kimatumbi mashabiki wana lalamika bila kujua kuna mda moto unakata tuNakazia