Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nchi iko gizani, hakuna maji na mbaya zaidi hata mikoa ambayo inazalisha umeme jenereta na wenyewe kuna mgao!
Mafuta tuliambiwa last week kuwa reserve iliyopo ni ya kutufikisha siku 14 tu. Raha sana. Leo huenda zimebaki siku nane tuingie kwenye mgao wa mafuta.
Nionavyo, Wabunge wa Upinzani, specifically CHADEMA wangekuepo Bungeni leo hii, tungesikia mashinikizo mbalimbali yenye tija ili kuwasaidia wananchi.
Kwa bahati mbaya sana, walioko bungeni wana ajenda mbili tu Moja, kusifia hata pasipostahili kusifia. Pili, kujiandaa kushinda uchaguzi, akili zao zimeishia hapo. Wakiwaza saaaana basi wanawaza kuhusu namna ya kujiongezea posho na kujiondolea kodi.
Utadhani hakuna bunge!