Ukweli usemwe, mkikosoa basi mjue na kupongeza pia, Mama anatisha

Jf sisi hizi watu wengi ni low thinkers Sana yaani, mwezi uliopita Duniani bei ya mafuta imeshuka mpaka kuweka rekodi ya mwaka 2021, yaani bei ya Sasa hivi imekua ndogo mara ya mwisho bei kama hii ilikua 2021 kipindi Cha lockdown, Sasa hapo Samia anatoka wapi?

Mafuta yameshuka Sana Duniani kote kiongozi
 
Basi zikipanda msimlaumu
 
Kwamba huyo mama yako ndie aneshusha bei ya mafuta 🤔 au anamiliki visima vingapi vya mafuta hadi ahusike kwenye kushuka mafuta kushuka bei🤔 una akili timamu kweli wewe 🤔
 
Kushuka ka mafuta ni sifa kwa OPEC na washirika wake sasa uyo mtu wako anahusikaje.

Mafuta yameshuka dunian ila tz maeneo meng bado tunanunua elf3000+ kwa lita sasa tumshukulu kwa lipi

Lakin anatufanyia msaada adi tumshukulu ww ni kiazi kabsa
 
Ok wewe ni kuku kama mimi ni kiazi,
Kama imeshuka dunia nzima, basi ikipanda pia msimlaumu Mama

Sio ikishuka ooooh ni dunia nzima, ila yakipanda oooh Mama hafai
 
Kwamba huyo mama yako ndie aneshusha bei ya mafuta 🤔 au anamiliki visima vingapi vya mafuta hadi ahusike kwenye kushuka mafuta kushuka bei🤔 una akili timamu kweli wewe 🤔
Sasa inakuweje ikipanda mnamtusi lakini ikishuka bei hamtaki kupongeza? Double standard?

Nadhani wewe ndio huna akili timamau bwashee

Yaani bei ikipanda oooh mama hafai, ila yakishuka ooooh ni dunia nzimq yameshuka

Farastova kabisa
 
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?

Au mnangoja yapande ndio mlaumu?

Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Unampongezaje mtu anapofanya kazi ambayo unamlipa afanye?.... .
 
Back
Top Bottom