mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Tuendee na story yetu na kina merry haya tuyaache
Jf sisi hizi watu wengi ni low thinkers Sana yaani, mwezi uliopita Duniani bei ya mafuta imeshuka mpaka kuweka rekodi ya mwaka 2021, yaani bei ya Sasa hivi imekua ndogo mara ya mwisho bei kama hii ilikua 2021 kipindi Cha lockdown, Sasa hapo Samia anatoka wapi?
Mafuta yameshuka Sana Duniani kote kiongozi