Ukweli usemwe, mkikosoa basi mjue na kupongeza pia, Mama anatisha

Ukweli usemwe, mkikosoa basi mjue na kupongeza pia, Mama anatisha

Jf sisi hizi watu wengi ni low thinkers Sana yaani, mwezi uliopita Duniani bei ya mafuta imeshuka mpaka kuweka rekodi ya mwaka 2021, yaani bei ya Sasa hivi imekua ndogo mara ya mwisho bei kama hii ilikua 2021 kipindi Cha lockdown, Sasa hapo Samia anatoka wapi?



Mafuta yameshuka Sana Duniani kote kiongozi
Hawa Wakonongo ukiwaambia hivyo wanaweza hata kumsifia zaidi Samia kwa kushusha bei ya mafuta ya dunia nzima 😂😂😂
 
Hii ni amani au uvumilivu?
Kilichopo ni Watawala na kundi (class) flani ambayo inafaidi keki ya Taifa Kwa ukaribu hasa (business and political class) wanaoomba amani kwao Yani wakae Kwa amani bila kubugidhiwa na kundi la watu walio wengi hasa lower and middle class.

Ndio mana mtu yeyote anayejatibu kuraise politicala awareness au mass consciousness anatajwa kama mtu anayehatarisha amani ya nchi. Sio amani ya nchi ni amani ya Watawala..

Mtu yeyote anayewakumbusha Watawala kuwajibika Kwa Wananchi Kwa kufuata misingi ya utawala Bora na Haki, mara nyingi anashitumiwa kuhatarisha amani ya nchi jambo ambalo kiuhalisia ni amani ya Watawala.
Kuna neno wanasema siku hizi kuzua taharuki, wakati wao Ndio Huwa wanatahayari na kukumbwa na taharuki! Wamejitungia Sheria nyingi za kuwalinda dhidi ya uwajibikaji na utawala wa Sheria.
Kikubwa hakuna vita mkuu
 
Hakuna chochote kilichofanyika kushusha bei! Bei imeshuka kwa sababu ya bei kushuka kwenye soko la dunia. Mwezi ujao yatashuka zaidi baada ya kushuka kwa dola.
 
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?

Au mnangoja yapande ndio mlaumu?

Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Fundi Bora ni yule mwenye kutatua au kudhibiti tatizo.
 
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?

Au mnangoja yapande ndio mlaumu?

Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Mahindi hayaoti kwenye lami
 
Mbona point ipo wazi kabisa?
Ikipanda na apondwe, ikishuka na asifiwe,

Sasa nyie ikipanda mumponde, ila ikishuka ni yenyewe imejishusha,

Huko shuleni mlienda kusomea ujinga?

Sasa akili hamna, basi hata za kuzaliwa pia?

Chuki hazikuwahi kumwacha mtu salama
 
Back
Top Bottom