mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Umejuaje?Umetumwa wewe?
Basi zikipanda msimlaumuJf sisi hizi watu wengi ni low thinkers Sana yaani, mwezi uliopita Duniani bei ya mafuta imeshuka mpaka kuweka rekodi ya mwaka 2021, yaani bei ya Sasa hivi imekua ndogo mara ya mwisho bei kama hii ilikua 2021 kipindi Cha lockdown, Sasa hapo Samia anatoka wapi?
Mafuta yameshuka Sana Duniani kote kiongozi
KabisaUmetumwa wewe?
2700Bei gani mafuta?
Wapi huko?2700
DaslamWapi huko?
Niko temboni hapa, naona 2813Daslam
Maka ana visima eeeh 😂😂😂Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?
Au mnangoja yapande ndio mlaumu?
Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Ok wewe ni kuku kama mimi ni kiazi,Kushuka ka mafuta ni sifa kwa OPEC na washirika wake sasa uyo mtu wako anahusikaje.
Mafuta yameshuka dunian ila tz maeneo meng bado tunanunua elf3000+ kwa lita sasa tumshukulu kwa lipi
Lakin anatufanyia msaada adi tumshukulu ww ni kiazi kabsa
Sasa inakuweje ikipanda mnamtusi lakini ikishuka bei hamtaki kupongeza? Double standard?Kwamba huyo mama yako ndie aneshusha bei ya mafuta 🤔 au anamiliki visima vingapi vya mafuta hadi ahusike kwenye kushuka mafuta kushuka bei🤔 una akili timamu kweli wewe 🤔
Unampongezaje mtu anapofanya kazi ambayo unamlipa afanye?.... .Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?
Au mnangoja yapande ndio mlaumu?
Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Kama vile unavyomponda akikoseaUnampongezaje mtu anapofanya kazi ambayo unamlipa afanye?.... .