Ukweli usemwe: Nandy anamuogopa sana Zuchu

Ngoja nikwambie HV unajua kws nn video ya wimbo wa Mandy na koffi hapo had Leoni vipande Tu...kuna mengisana Nandy anafanyiwa bass Tu huwa anamezea na wanaomfanyia ni hao unaowasifia akitangaza show watu hao wanaenda kuziba mbele wanaroho mbaya Sana anawaumiza kichwasana sikumoja akiyasema yote hapatakalika nakwambia hao wanataka KiLa mtu aingie kwako awe , mason's ujinga mtupu nschukia Sana watu wanaokwamisha maendeleo ya wengine
 
Ndo hivyo, Kama ye na bwana wake RP luge walivyofanya mipango ya kumshusha Ruby, Mambo yamerudi kwake.
 
Nandy si mtunzi, anatungiwa nyimbo na watu hivyo anaimba bila kuwa na hisia nazo japo anapretend. Zuchu anajitungia mwenyewe na she lives in her songs. Nandy lazima amuhofie Zuchu because hana uwezo wa kutunga mpaka apewe matapishi na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…