Ukweli usemwe: Nandy anamuogopa sana Zuchu

Ila wasafi mnapenda kushindanisha watu jamani! yaani muda wote mnawaza mabifu tu na ndio maana Davido alisema hawezi shirikisha wasanii wa Tanzania maana wana mateam ukimshirikisha huyu lazima uyaoge matusi ya team nyingine
 
Ajira zimetoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…