Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Nchi ya kijamaa hii,nani ana muda wa kunyanyua wafanyabiashara wa ndani?Watu wa hivi kuna namna ya kuishi nao. Zile product ambazo hawana hasa za kilimo tunazi process nakuwauzia badala ya law ambazo wanazi process na kunufaika mara 2.
Pia nasi tunaweza linda soko letu kijasusi kuzuia uwekezaji wao mkubwa wa makampuni nchini Tanzania hasa yale yanayotoa upinzani wa moja kwa moja kwa kampuni zetu. Angalia makampuni kama Mwananchi (media), KCB nk hz zingepewa ugumu kiasi kama wasipotoa wepesi kwa makampuni ya TZ
Rais wa nchi anasema nataka matajiri waishi kama mashetani?Watu wa dizaini hio ndio uwaambie wanyanyue wazawa?