Ukweli usemwe Simba bila Chama inahangaika sana kupata magoli

Kwa simba hii, hata huyo chama mnamtia matatizoni tu J2.
 
Mechi za mwisho Simba ilizocheza bila Chama

06/06/2023 Simba 6-1 Polisi​
09/06/2023 Simba 3-1 Coastal Union​
10/08/2023 Simba 0-0 Singida FG​
Takwimu ni muhimu katika kufikia hitimisho
Sawa.
mechi ya final ngao ya jamii Chama atacheza utaona utofauti wa ninachosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…