Ukweli Usemwe: Tatizo la Simba SC lilianzia hapa

Ukweli Usemwe: Tatizo la Simba SC lilianzia hapa

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Watu wengi wanazunguka zunguka lakini mikosi kwa simba ilianzia hapa kwa kumkejeli mungu.

Lakini wangekua na msimu bora sana mwaka huu

1683471469618.png
 
Hakuna cha nini hapo kikosi kibovu tu

Angalia wachezaji wao miaka 40 na wachache 30+

Watoto kama Sahko na Banda hawachezi

Mchezaji kijana uwanjani ni kanoute na utapata vip matokeo?

Simba wafanye transformation ya Haraka Sana na reform kwenye timu yao.

Waache ujanja ujanja
 
Wana wachezeji wengi wenye miaka 40 nasema hivi na Tff wasikie kuna Wachezaji walitumia vidonge vya kuongeza nguvu. Nimemaliza
Hakuna cha nini hapo kikosi kibovu tu

Angalia wachezaji wao miaka 40 na wachache 30+

Watoto kama Sahko na Banda hawacheji

Uchezaji kijana uwanjani ni kanoute na utapata vip matokeo?

Simba wafanye transformation ya Haraka Sana na reform kwenye timu yao.

Waache ujanja ujanja
 
KILA SIKU TUNAWAAMBIA ACHENI KULATA WACHEZAJI MIZIGO. TIMU INATAKIWA IFANYE MABADIRIKO. VIONGOZI WANAPASWA WAJIUZURU NA WACHEZAJI WAONDOSHWE.

1. Mohamed Ottara.
2. Joash Onyango.
3. Ismail sawadogo.
4.Peter Banda.
5. Pape Sackho.
6.Agustine Okrah.

WACHEZAJI WAZAWA WA KUACHWA.

1.John Boko.
2.Jonas Mkude.
3. GADIEL Michael.
4. Nassor Kapama.
5.Habib Kyombo.

NAFASI MUHIMU ZA KUJAZA.

1.Golikipa nambari Mbili.
2. Beki wa kushoto.
3. Mabeki wa kati .
4. Kiungo mkabaji ,, 6 ,, 8.
5. Mshambuliaji wa KIGENI futi sita.
6. Winga wa kushoto.

ZINGATIENI SANA VIMO VYA WACHEZAJI WALAU 6 FEET.

BORA KUSAJILI WACHEZAJI WACHACHE KULIKO KUWA NA RUNDO LA WACHEZAJI MIZIGO.
MOHAMED DEWJI.
TRY AGAIN.
MANGUNGO.
BODI YA WAKURUGENZI.
 
Nyoni pia aondoke
 
Back
Top Bottom