Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilikuwa 3 azzam kanyimwa penalty 2 za wazi kabisaHapo bado refa kawabeba 😅😅😅
Havina uhusiano ni kuwa na wachezaji wazee na usajili mbovu tu. Kocha ni mzuri Sana ila hana wachezaji.Watu wengi wanazunguka zunguka lakini mikosi kwa simba ilianzia hapa kwa kumkejeli mungu.
Lakini wangekua na msimu bora sana mwaka huu
View attachment 2613511