Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Hakuna cha nini hapo kikosi kibovu tu
Angalia wachezaji wao miaka 40 na wachache 30+
Watoto kama Sahko na Banda hawacheji
Uchezaji kijana uwanjani ni kanoute na utapata vip matokeo?
Simba wafanye transformation ya Haraka Sana na reform kwenye timu yao.
Waache ujanja ujanja
Wameridhika mno.Kosa la Simba ni wachezaji kutocheza kwa kujituma. Wanao uwezo ila hawajitumi.
Exactly Kama chama anacheza ka hataki vile,hata kufunga ni kama anategea awepo mtu karibu amgee pasiπ€Kosa la Simba ni wachezaji kutocheza kwa kujituma. Wanao uwezo ila hawajitumi.
Mechi serious kama ile sio ya chama kukosa magoli ya wazi vile.Exactly Kama chama anacheza ka hataki vile,hata kufunga ni kama anategea awepo mtu karibu amgee pasiπ€
Hata hivyo wamekufa kiume!!Watu wengi wanazunguka zunguka lakini mikosi kwa simba ilianzia hapa kwa kumkejeli mungu.
Lakini wangekua na msimu bora sana mwaka huu
View attachment 2613511
HatarHapo bado refa kawabeba π π π
AaahaaaaaaaWatu wengi wanazunguka zunguka lakini mikosi kwa simba ilianzia hapa kwa kumkejeli mungu.
Lakini wangekua na msimu bora sana mwaka huu
View attachment 2613511
Nyoni pia aondokeKILA SIKU TUNAWAAMBIA ACHENI KULATA WACHEZAJI MIZIGO. TIMU INATAKIWA IFANYE MABADIRIKO. VIONGOZI WANAPASWA WAJIUZURU NA WACHEZAJI WAONDOSHWE.
1. Mohamed Ottara.
2. Joash Onyango.
3. Ismail sawadogo.
4.Peter Banda.
5. Pape Sackho.
6.Agustine Okrah.
WACHEZAJI WAZAWA WA KUACHWA.
1.John Boko.
2.Jonas Mkude.
3. GADIEL Michael.
4. Nassor Kapama.
5.Habib Kyombo.
NAFASI MUHIMU ZA KUJAZA.
1.Golikipa nambari Mbili.
2. Beki wa kushoto.
3. Mabeki wa kati .
4. Kiungo mkabaji ,, 6 ,, 8.
5. Mshambuliaji wa KIGENI futi sita.
6. Winga wa kushoto.
ZINGATIENI SANA VIMO VYA WACHEZAJI WALAU 6 FEET.
BORA KUSAJILI WACHEZAJI WACHACHE KULIKO KUWA NA RUNDO LA WACHEZAJI MIZIGO.
MOHAMED DEWJI.
TRY AGAIN.
MANGUNGO.
BODI YA WAKURUGENZI.