Ukweli Usemwe: Tatizo la Simba SC lilianzia hapa

kitendo cha mashabiki kumzomea kocha kipindi kile alipo mtoa chama, basi kocha amekuwa muoga kumgusa tena chama hata kama anaboronga uwanjani mechi nyingi chama anamaliza dakika 90 lakini unakuta tangu dakka ya 75 alishajichokea

chama na saido inaonekana kocha anawaogopa kabisa kuwagusa ninacho shauri mashabiki tuache kuingilia kazi ya makocha..
 
Aliefia huko kafufuka na nyota yao kawa kiongozi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…