Ukweli Usemwe: Ubovu wa Album ya Rayvanny umechangiwa na kutengwa na kupuuzwa na Mameneja wake

Wamwkurupuka sana yote kutaka watu wasizoweye kumlinganisha harmonize Na domo ... Ili mladi tu harmonize wamlinganishe Na rayvan nyegezi Na mbosso ...
 
Sawa mkongoman
 
Album Bora Bora TANZANIA kwa mwaka Jana na mwaka huu so far ni

1. The Love Album by JUX ...

2. Album ya konde Boy

3. Album ya Darasa

Ila album ya Jux ni hatari Sana Sana Sana itafuteni
Jux kwenye album katisha mbayaaaa. Halina pingamizi
 
Ukweli mchungu huu, ambao mbuzi wa dabliusibii hawataki kuusikia lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakuona ANT-WCB upo kazini,juzi umeanza na Zuchu leo upo kwa Rayvanny,WCB siku zote wao numbers zinawabeba,Mwisho wa siku unajikuta unaumia wewe na wenzako wachache wenye chuki,huku wengi wao kupitia digital platforms wakiwasikiliza.

Ruttashobolwa
Nakuuliza mkuu hiyo album unaweza kurudia mara mbili kusikiliza kama za wengine? ina maana usomi
Nakuona ANT-WCB upo kazini,juzi umeanza na Zuchu leo upo kwa Rayvanny,WCB siku zote wao numbers zinawabeba,Mwisho wa siku unajikuta unaumia wewe na wenzako wachache wenye chuki,huku wengi wao kupitia digital platforms wakiwasikiliza.

Ruttashobolwa
aiseee
 
aiseee no wonder umejiunga 2018.....
 
Siku hizi bongo hamna albums kuna mrundikano wa nyimbo album gani hazina theme hata ya mmakonde ni wale wale
 
1.Kiuno [emoji95][emoji95],
2. Mama ft Saida
 
Acheni ujinga nyinyi, watu wapo busy kuuguza ndugu zao wanaoumwa Corona, halafu mnatarajia waje wasikilize utopolo wa WCB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…