jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
Wamwkurupuka sana yote kutaka watu wasizoweye kumlinganisha harmonize Na domo ... Ili mladi tu harmonize wamlinganishe Na rayvan nyegezi Na mbosso ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkongomanMimi kwa maoni yangu mtu ambaye yuko vizuri katika kutoa album ni Koffi olomide, mara nyingi album zake akitoa basi utaisikiliza yote na utairudia na itaishi. Naongelea kwa Africa haya ni maoni unaweza usikubali lakini unaweza kuchungulia album zake toka enzi za V12 mpaka sijui Efracata au Monde Arab na nyingine nyingi
Sasa imekuwa kama mavi ... Watoto wa haramuWasafi ni kama maji.
Jux kwenye album katisha mbayaaaa. Halina pingamiziAlbum Bora Bora TANZANIA kwa mwaka Jana na mwaka huu so far ni
1. The Love Album by JUX ...
2. Album ya konde Boy
3. Album ya Darasa
Ila album ya Jux ni hatari Sana Sana Sana itafuteni
Umeona eeh babeJux kwenye album katisha mbayaaaa. Halina pingamizi
Nakuuliza mkuu hiyo album unaweza kurudia mara mbili kusikiliza kama za wengine? ina maana usomiNakuona ANT-WCB upo kazini,juzi umeanza na Zuchu leo upo kwa Rayvanny,WCB siku zote wao numbers zinawabeba,Mwisho wa siku unajikuta unaumia wewe na wenzako wachache wenye chuki,huku wengi wao kupitia digital platforms wakiwasikiliza.
Ruttashobolwa
aiseeeNakuona ANT-WCB upo kazini,juzi umeanza na Zuchu leo upo kwa Rayvanny,WCB siku zote wao numbers zinawabeba,Mwisho wa siku unajikuta unaumia wewe na wenzako wachache wenye chuki,huku wengi wao kupitia digital platforms wakiwasikiliza.
Ruttashobolwa
aiseeeHivi mnapata wapi muda wa kuskiliza hiyo takataka?
Niwakumbushe Ruttashobolwa ni member wa wcb kindaki ndaki kitambo
aiseee no wonder umejiunga 2018.....Nakuona ANT-WCB upo kazini,juzi umeanza na Zuchu leo upo kwa Rayvanny,WCB siku zote wao numbers zinawabeba,Mwisho wa siku unajikuta unaumia wewe na wenzako wachache wenye chuki,huku wengi wao kupitia digital platforms wakiwasikiliza.
Ruttashobolwa
Wasalaam wana jamvi.
Bila shaka kila mtu amepata wasaha wakupitia na kusikiliza Album ya Msanii Rayvany basi utakubaliana nami na utaungana na wengi ni mmoja ya wasanii waliotoa album mbovu kwa sasa hapa nchi. Na ndio maana ni wazi kabisa Album za kina Harmonize na Darassa basi zinaendelea kuwa album bora sana na zenye nyimbo nzuri sana na hazichochi kusikilizwa.
Rayvany ni mmoja ya wasanii wazuri na wasanii bora kabisa wanaojua kutunga na kuimba lakini kwa Album hii yake watu na mimi tuna amini kabisa huu ubovu wa album yake umechangiwa kabisa na wanaomzunguka kwenye management yake.
Album ya Rayvany ni moja ya Album zilizo andaliwa kwa kukurupuka sana tena sana na ndio maana hata mamneja wake ni kama waliipuuza kabisa... na kitu kikisha puuzwa na watu wanao kuzunguka basi ata jamii itakipuuza tuu.
Album ya Rayvany haikupewa uzito unao stahili kabisa na manajement yake kuanzia promo na kila kitu na wengi wameipa kisogo kila mtu yuko busy na mambo yake Babu Tale yuko busy na ubunge , Diamond yuko busy na familia yake na Salam hajulikani anafanya nini kabisa...
Album ya Rayvanny alikosewa kwenye timing kabisa yaani ni kama hawakujiandaa kuiachia hii Album sema Rayvany na wengine walilazimisha kuitoa hiyo Album ndio maana inaoneakana kama wameipuuza kabisa.
Album ya Rayvany haikukaguliwa na mameneja wake na kama wangeikagua lazima wasingekubali itoke kama ilivyotoka kwani Album imejaa nyimbo zisizo bora na mvuto wa kutamani kusikiliza album au shauku ya kununua Album husika ni wazi waliipuuza hii album.
Album ya Rayvany haikuwa kwenye Ratiba ya WCB lakini Rayvany alilazimisha itoke wakawa hawana namna ndio maana support haijawa kubwa kutoka kwa mameneja wake ..... wao walipanga itoke mwakani lakini Rayvany alilazimisha iwe mwaka huu.
Rayvany aliachwa apambane peke yake wakidhani ameshakuwa msanii mkubwa sana hivyo angeliweza kusimama kwa miguu yeke mwenyeyewe lakini ukweli ni kwamba alihitaji support kubwa sana tofauti na walivyokuwa wana mtazama yeye kama yeye.
Wasalaam......
1.Kiuno [emoji95][emoji95],Mkuu album nzuri kila mtu anasema kufikisha hizo views ni kwamba mashabiki wanataka kusikia kilichomo hata mimi nimechangia kwenye hizo views... baada ya kusikiliza ndio tunasema hii ni moja ya album mbovu kabisa kutoka hivi karibuni ,,,,,na wengi hawakutarajia... hivi kwenye hii album ukiacha wimbo wa jux na ule wa mboso ni wimbo gani unaweza kuusikiliza mara kwa mara?
Acheni ujinga nyinyi, watu wapo busy kuuguza ndugu zao wanaoumwa Corona, halafu mnatarajia waje wasikilize utopolo wa WCBWasalaam wana jamvi.