The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
mkuu nakutakia miaka 1000 ya neema na huko after life mingine 1000Sie tuliishapewa majukumu yetu na Mwenyezi Mungu Baba tokea zamani.
Haya ya nyongeza ona yanavyotupiga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nakutakia miaka 1000 ya neema na huko after life mingine 1000Sie tuliishapewa majukumu yetu na Mwenyezi Mungu Baba tokea zamani.
Haya ya nyongeza ona yanavyotupiga.
Mbona akili zako ni kama za kuku, tuhame nchi, kwani hii ni nchi yako?Hameni Nchi nyie wazee wakulamu kila awamu, mbuzi nyie
hujui au! Nyie kila Rais kwenu hafai, mnataka muongozwe na malaika au??! Mama wa watu anajitaidi Sana kusimamia haki, lakini Bado kwenu nyie hafai,Mbona akili zako ni kama za kuku, tuhame nchi, kwani hii ni nchi yako?
Hahahah, dead for goodUngemeza P2 mapema kuzuia mimba ya Mwendazake Ona sasa inavyokutesa kwa kichefu chefu na kutapika kila unachokula
Mkuu si tulikubaliana sasa hivi hamtatukana wakosoaji?hujui au! Nyie kila Rais kwenu hafai, mnataka muongozwe na malaika au??! Mama wa watu anajitaidi Sana kusimamia haki, lakini Bado kwenu nyie hafai,
Wapuuzi Sana nyie
Tafsiri yake ni kuwa bado Kuna mamilioni ya watu hawapo vizuri, Sasa unataka nao wasifie hata Kama mambo yao yanaenda vibaya?Kwaiyo ulitaka watu wote milioni sitini wawe watumishi wa umma kilaza wewe!?
Mkuu hasira hizi zitazidi zaidi ya hapa mwisho upate Sonona.Hameni Nchi nyie wazee wakulamu kila awamu, mbuzi nyie
Huyu na mtangulizi wake hakuna tofauti. Siku ya uchaguzi wote walikuwa wagombea kupitia ccm, kama ulitia tiki kwenye kiboksi Chao basi uliwachagua wote kuwa wanafaa kwa nafasi ya urais, akaanza Magufuli akaishia alipoishia akapokea mgombea mwenza waliyeshinda pamoja kwenye uchaguzi mkuu.Ndo huyo anawafaa, aliyepita mlilalamika pia.
Nini mnataka sasa?
Sasa chama kimerudi kwa watoto wa mjini, yule mshamba wenu alitaka kutuharibia chama chetu, CCM ya kushindana kwa hoja imerudi, sio hile ya bwana yule ya kujibu hoja kwa risasi,,Mkuu hasira hizi zitazidi zaidi ya hapa mwisho upate Sonona.
Wapingaji na wakosoaji hawataisha na ndio kwanza wanaongezeka. Na nchi hatuhami maanaa hakuna mwenye hati miliki[emoji23]
Kwa hiyo wewe hapa unampigania mama?hujui au! Nyie kila Rais kwenu hafai, mnataka muongozwe na malaika au??! Mama wa watu anajitaidi Sana kusimamia haki, lakini Bado kwenu nyie hafai,
Wapuuzi Sana nyie
Magufuli ndiye aliyekuwa anaendesha nchi, mama samia alikuwa akitumwa kutekeleza.Huyu na mtangulizi wake hakuna tofauti. Siku ya uchaguzi wote walikuwa wagombea kupitia ccm, kama ulitia tiki kwenye kiboksi Chao basi uliwachagua wote kuwa wanafaa kwa nafasi ya urais, akaanza Magufuli akaishia alipoishia akapokea mgombea mwenza waliyeshinda pamoja kwenye uchaguzi mkuu.
Kitupi kama ulichagua CCM basi ulimchagua Samia. Hakujiweka bali umemuweka. Kama alikuwa hafai Magufuli asingempendekeza awamu ya pili,kwani alikuwa na uwezo wa kumkataa!! Na ninyi wanaccm kama mlikuwa hampendi chaguo la Magufuli mngemkataa kwenye kura zenu, lakini walipata 100%. Ni chaguo halali la wanaccm,acheni kujiliza mmeyataka wenyewe.
Nchi haina Rais angalia hata hotuba yake ya marais wa East African Countries kikao chao jana au juzi Samia katoa lihotuba hata facial engagement na audience zero kainama tu anasoma maandishi yaani aibu sana sana, ni utopolo hadi naichukia Tanzania. Ameshindwa hata kuandaa sentence 10, hata market potential ya region, road infrastructure networks, cohesiveness within the region, security threats, nchi hii imejaa wapumbavu mautopolo. Haya mandezi mbinguni yatatukoma. Bora tuwe hata na vita kuliko kuongozwa na mandezi wanaofanya wote tudhaurike.Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.
Wewe ndio changamotoUnaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.
Awamu hii haina watu wanaoumiza vichwa kupata solutions .Mfano huo wa "pembejeo, na ubora wa wa viutilifu", ni mfano mzuri sana, kwa maana unawagusa wananchi moja kwa moja.
Tunalia na ukosefu wa mafuta ya kula, kila mwaka. Ukisikiliza kelele zinazopigwa na viongozi wetu juu ya uwezekano wetu kujitosheleza na kuuza nje bidhaa hiyo, utadhani Tanzania tuna nema ya ajabu sana.
Leo hii rais anasimama mbele za wananchi anazungumzia uhaba wa bidhaa hiyo hiyo. Anatoa amri bidhaa hiyo iagizwe toka nje kwa bei yoyote ile..., halafu anaishia hapo!
Kwani alizeti, karanga, pamba ..., mazao haya yanahitaji muda mrefu kiasi gani kuweza kuyazalisha ya kutosha ili tupate mafuta ya kutosha? Kwa nini tumeshindwa kila mwaka kuwahudumia wakulima ili wazalishe mazao haya kwa wingi ili tuondokane na adha hii ya kila mwaka?
Rais kasema, viwanda vipo, lakini havizalishi mafuta! Anaamrisha mafuta yaagizwe..., anaishia hapo! Huu ndio uongozi? Kweli anao moyo wa kujali maslahi ya nchi hii?
Kinachoonekana hapa, rais anao watu wake walio mstarini tayari kuagiza mafuta. Hawa ndio anaowajali. Wakulima na hivyo viwanda vilivyopo yeye hana habari navyo kabisa!
Samia ataididmiza Tanzania. Anaua kabisa hata ule moyo wa kudhani tunaweza kufanya na kujitegemea katika mambo kadhaa. Kujitegemea na Kujitosheleza katika mambo tuliyo nayo uwezo ndiyo njia sahihi kabisa ya nchi yetu kuendelea. Hatuwezi kuwa nchi ya kutegemea wachuuzi ndio watuletee maendeleo.
Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha.
Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique.
Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno.
Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya ile ya Msumbiji.
Dizeli, Petrol na Mbolea Msumbiji ni nafuu sana ukilinganisha na Tanzania, wanatuzidi wapi?
Nikirudi kwa mama, Mwaka mmoja wa kuwa madarakani kila kitu kimebadilika gharama za Maisha zimepanda mno, uonevu kwa wakulima wa Korosho umerudi upya.
Bei ya magari, TV, Computer n.k zimekuwa juu kabisa.
Kama hali itaendelea hivi uchaguzi unaofuata.
Mwendazake ambaye alidhibiti vizuri mfumko wa bei na kuwajali wananchi mlimlalamikia sana; sasa huyu kaingia ndani ya mwaka mmoja tu mnasema ameumiza wananchi kupita kiasi!Ameumiza sana wananchi kupita kiasi