Ukweli usemwe, Wamakonde nao ni wachangamfu na wachakarikaji sana!!

Hahaha uchawi upo kila kabila Mwanza wanajivunia Wachawi wao mmoja wapo Mwanamalundi mboni watu hawasemi, kule Arusha na Kilimanjaro ambako kila mwisho wa mwaka Christmas wanaenda kuyafukua makaburi kujinja kumwaga damu na kuinywa mboni husemi wachaga kwenye maduka yao wanaweka nini, acha uzuzu
usitawanye hoja!!! wewe umesifia wamakonde,sasa wasukuma wametoka wapi?
 
hamna bhana!! ata roho yako inajua wamakonde ni wachawi ila kwa vile wewe ni mmakonde ubongo wako unakataa!! ilikuaje magufuli akakwepa moshi wa upepo usimpate pale mtwara?? bila shekh mkuu sijui ingekuaje!!
Wewe sababu umekuzwa kwenye mentality za kichawi ndio shida yako ilipo hapo
 
hamna bhana!! ata roho yako inajua wamakonde ni wachawi ila kwa vile wewe ni mmakonde ubongo wako unakataa!! ilikuaje magufuli akakwepa moshi wa upepo usimpate pale mtwara?? bila shekh mkuu sijui ingekuaje!!
Kukusaidia tu, km ulikuwa umeshamaliza darasa la saba, ile haikuwa mtwara, ilikuwa Ruangwa....na Ruangwa ni Lindi sio Mtwara kaka.
 
usitawanye hoja!!! wewe umesifia wamakonde,sasa wasukuma wametoka wapi?
Nimeishi usukumani kule kwenyewe kwenye uchawi super ambako sasa hivi wanawasaka wale wafuga fisi naa wao baada ya kuona wanasakwa wamewaachia fisi sasa hivi fisi wanawinda watu na kuwadhuru kwa hio usifanye km hatujui kinachoendelea kamchape mmoja wewe
 
acha kuharibu mada!!!!,,,wamakonde ni,,,WACHAWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!
Wewe mmoja wapo maana kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa ukiona mtu anauzungumzia sana uchawi na kusema fulani ni mchawi basi ndio sehemu ya maisha yake, mfano mdogo mtu anaweza akamtambua mlokole ambae kila jioni anapiga makelele ya kukemea na kuomba kwa sauti sasa wewe umetambua hilo na ndio sehemu ya maisha yako km wewe sio mchawi huwezi kumjua mchawi unamjua mchawi kwa sababu wewe pia ni mmoja wa jamii ya wachawi au wanaoishi kichawi, hapo sijatoka nje ya mada nimelenga target ilipo
 
"I insist,wamakonde are witch",,,kuna jirani yangu mmakonde mwaka 2022,,nilimkuta shambani kwangu saa 8 usiku{mwanamke,mumewe ni mlinzi na ni mwenyeji wa morogoro],,,nilimkuta kavaajuu kaniki nyekundu,chindi kaniki ya kaki,kashika usingi akirukakaruka,,nikamkamata nikaita majirani,ilikuwa aibu kubwa sana,ila kwa vile serikali haiamini uchawi nilitemana nae,juzi kati kashikwa tena njia panda anafafanya upuuzi wake,,,,,na mpaka sasa,,mumewe kamkimbia,baada ya kwenda nae ukweni yaani kwa mumewe kwenda kumwangalia mama mkwe kwani alikuwa akiumwa,cha ajabu alikutwa uwani akiwa uchi,,so ndugu wakakomaa,,,kwa aibu jamaa kasepa,,,eneo wanaloishi sio lao walikabidhiwa walilinde,,,lakini mwenye eneo unaambiwa keshapiga tofali zaidi ya elf 5,lakini kalisahau,,,huyo katokea newala,,,,,mwingine pia jirani unaambiwa alipewa eneo alilinde lakini aliishi pale zaidi ya miaka 30,,mwenye eneo kajisahau bahati nzuri mwenye eneo alikuwa na mkopo wa benki akashindwa kurudisha,so nyumakasindwa kurudisha,ssonyumba ikaingingia mnadani,ndo akili ikamrudia,,,akakumbuka na eneo lake dsm,,,akakusanya ndugu zake na kuongea na benki wampe muda kidogo akakubali compaund interest,kufika dar kamkuta mmakonde ana mpaka wajukuu,,,,,,akakata vipande manake eneo ni lahekari 3 akauza na akalipa benki kiasi kinachotakiwa,na akampa mmakonde pesa fulani iliahame,,,basi bhananyumba ya mmakonde ilikuwa ya udongo,kuivunja walichokutana nacho chini ya sakafu ilikuwa aibu!!!!
 
Mwamba mbona kama chai hii umezidisha tangawizi, saa 8 ya usiku ulikuwa unafanya nini' porini?!!! Hamkuwa pamoja kweli?!! Hakuna mchawi anayeonwa au kukamatwa na mtu wa kawaida.....hukamatwa na mchawi mwenzake tu. Hii inafanya post #28 kuwa kweli
 
Ndio maana nimekwambia wewe ndio masuala yako ya kichawi yamekujaa yaan ukisikia wamakonde tu suala la kwanza linalokuja kichwani wanakula Panya na zamani walikua wanakula watu hivyo ndivyo mlivyokua mnaongopeana sasa hivi mmeona haitoshi wachawi wale wamakonde wachawi, by the way mimi sio mmakonde na sina kabila ni mtanzania
 
Mwamba mbona kama chai hii umezidisha tangawizi, saa 8 ya usiku ulikuwa unafanya nini' porini?!!! Hamkuwa pamoja kweli?!! Hakuna mchawi anayeonwa au kukamatwa na mtu wa kawaida.....hukamatwa na mchawi mwenzake tu. Hii inafanya post #28 kuwa kweli
Mchawi humtambua mchawi mwenzie ndio nmemwambia ni sawa na mlokole kumtambua mlokole mwenzie hivyo yaan sasa yeye kakomaa wachawi kumbe yeye ana element za kichawi kwa kujua au kwa kutokujua
 
Mwamba mbona kama chai hii umezidisha tangawizi, saa 8 ya usiku ulikuwa unafanya nini' porini?!!! Hamkuwa pamoja kweli?!! Hakuna mchawi anayeonwa au kukamatwa na mtu wa kawaida.....hukamatwa na mchawi mwenzake tu. Hii inafanya post #28 kuwa kweli
No mimi uwa napenda kuanzia saa 8 napenda kutoka nje kuangalia usalama,manake ni mfugaji,nafunga ng'mbe,mbuzi kuku na na bata,,,,
 
Back
Top Bottom