Msema kweli ni mpenzi wa Mungu...Yanga wako vizuri sanq...ngoja kesho uone "mafaza" wakicheza..kwanza hawana haraka! Yaani ni ile mtu anasema " Cha kufia nini na mshahara wangu uko palepale"Mkuu Hadi wewe?? Au account yako iko hacked
Kama unazungumzia soka,bado sana,ila kama unazungumzia maigizo,tayari ligi imeishaHongereni watani Yanga sc kwa kutwaa taji la ubingwa wa msimu huu wa 2022/2023, Simba tujipange tufanye vizuri champions league japo group letu ni gumu...
Umejiondoa Simba?Hakika
Yanga wanaupigwa Mwingi sana.
Ni kwamba wamesajiri vizuri.
Simba endeleeni kusajiri makocha badala ya wachezaji wazuri.
Hapana ila nawasifia kwa ubora wa kikosi chao.Umejiondoa Simba?