Ukweli usemwe Yanga ni Mabingwa tena

Ukweli usemwe Yanga ni Mabingwa tena

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu...Yanga wako vizuri sanq...ngoja kesho uone "mafaza" wakicheza..kwanza hawana haraka! Yaani ni ile mtu anasema " Cha kufia nini na mshahara wangu uko palepale"
Akili za kuvimbiwa pilau la chrismas
 
Mabingwa wa kubebwa🐒🐒🐒
IMG-20221129-WA0009.jpg
 
Hakika
Yanga wanaupigwa Mwingi sana.
Ni kwamba wamesajiri vizuri.

Simba endeleeni kusajiri makocha badala ya wachezaji wazuri.
Wewe mara nyingi ulikuwa unalalamika yanga wanatumia bahasha. Leo kimekukuta nini?
 
Back
Top Bottom