Ukweli usemwe Yanga ni Mabingwa tena

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu...Yanga wako vizuri sanq...ngoja kesho uone "mafaza" wakicheza..kwanza hawana haraka! Yaani ni ile mtu anasema " Cha kufia nini na mshahara wangu uko palepale"
Akili za kuvimbiwa pilau la chrismas
 
Kama kuuliza hakuna shida basi yeye akiulizwa zilipo Bill 20 hatoe majibu
Kazi kudharau matajiri ndio mnayojua,ww ujibiwe kuhusu bil 20 kama nani,alafu unavyoitaja utadhani 20 mzembe mmoja
 
Hakika
Yanga wanaupigwa Mwingi sana.
Ni kwamba wamesajiri vizuri.

Simba endeleeni kusajiri makocha badala ya wachezaji wazuri.
Wewe mara nyingi ulikuwa unalalamika yanga wanatumia bahasha. Leo kimekukuta nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…