Ukweli usemwe, Yanga siyo bora kama tunavyo aminishwa

Kwahiyo kosa lipo Kwa Gamondi kudharau game au tukubaliane kua Yanga ina wachezaji wachache wenye viwango ambao wasipocheza hakuna tena ushindi?
1) Gamond anakosa la kuwaacha nje wachezaji wa maana na kukumbatia wakina Mzize.
2) Gamond kashindwa kuweka mazingira mazuri wachezaji wawe na fitness
 
Hilo la uchache wa wachezaji niliwahi kuliongelea wakati watu wanataka rotation. Mechi muhimu kama hii Musonda na Guede unawaacha nje unamuweka Mzize kama straika kwa kiwango gani cha Mzize?
 
Consider point number 1....
Hivo itoshe kusema kuna wachezaji Yanga wenye viwango duni (kina Mzize)...?
 
Hilo la uchache wa wachezaji niliwahi kuliongelea wakati watu wanataka rotation. Mechi muhimu kama hii Musonda na Guede unawaacha nje unamuweka Mzize kama straika kwa kiwango gani cha Mzize?
Guede Naye nahisi atakua Kwenye Hilo kundi la ( kina Mzize)
 
Yanga hawakucheza vibaya ila wamekosa ushindi.
Muda mwingi wa mchezo timu iliyokua inatarajiwa kupata goli ni Yanga.
Takwimu nyingi zinaonyesha Yanga walijaribu kufanya kitu na hii hutokea marachache Sana kwa Yanga na ndio utamu wa soka.
Bahati mbaya Kila baada ya dk 5 wachezji wa Kagera walikua wakilala Sana Chini na refa akawa mzito kutoa kadi ili wasirudie iyo tabia.
 
Kesho ndo utaelewa kadri gape linavopungua Simba wanazidi kua Bora na hizi game zimepangwa kimkakati mno Yanga atakua anapoteza Simba anashinda
mnawaweza yanga kwa mikakati nyie?
au unajisahaulisha....
 
Ni Kweli yanga siyo Bora sinba Ni Bora mno ukilinganisha na yanga
 
Yanga hawakucheza vibaya ila wamekosa ushindi.
Muda mwingi wa mchezo timu iliyokua inatarajiwa kupata goli ni Yanga.
Takwimu nyingi zinaonyesha Yanga walijaribu kufanya kitu na hii hutokea marachache Sana kwa Yanga na ndio utamu wa soka.
Bahati mbaya Kila baada ya dk 5 wachezji wa Kagera walikua wakilala Sana Chini na refa akawa mzito kutoa kadi ili wasirudie iyo tabia.
Ni kweli lakini ukitazama Kwa jicho la ndani Yanga wanapiga pasi nyingi Sana zisizo na ulazima... Timu nzuri inaposhambulia haina haja ya kupiga pasi za ziada ( extra passes) badala yake zinapigwa pasi muhimu Tu ( potential passes).. Ndio maana Simba Wanashindwa kabisa kumuacha MACHA maana atapiga pasi moja Tu itakayosababisha Goli, red card au penati...

Tusidanganyane kucheza mpira mzuri usio na madhara ndio maana tutaonekana tunacreate chances nyingi lakini sio threat...

Kagera kapiga shambulizi moja la maana na umeona kilichotokea
 
Nadhani ni mipango tu, Tanzania tuna team nzuri.. unajua bana mpira ni calculations. Afcon ya mwaka huu kwa mfano tu, imetoa tafsiri ya hisabati za mpira. Na hapo kwenye hisabati ndo bado tunafeli
 
Ni kweli lakini ukitazama Kwa jicho la ndani Yanga wanapiga pasi nyingi Sana zisizo na ulazima... Timu nzuri inaposhambulia haina haja ya kupiga pasi za ziada ( extra passes) badala yake zinapigwa pasi muhimu Tu ( potential passes).. Ndio maana Simba Wanashindwa kabisa kumuacha MACHA maana atapiga pasi moja Tu itakayosababisha Goli, red card au penati...

Tusidanganyane kucheza mpira mzuri usio na madhara ndio maana tutaonekana tunacreate chances nyingi lakini sio threat...

Kagera kapiga shambulizi moja la maana na umeona kilichotokea
Kuna siku utafanya Kila kitu na utakosa matokeo, Kagera walizuia Waka galagala na wamepata matokeo, Ndivyo soka Lilivyo.
Ingelikua Yanga hawakupata shot on Target ingekua kitu kingine ila kipa wa Kagera amefanya save za kutosha.
 
Sawa let's wait and see lakini kuna namna Yanga mashambulizi hua hayana madhara ya moja Kwa moja
 
Kuanzia Kule mapinduzi Zanzibar Yanga walicheza soka la hovyo Sana wakasingizia kina Pacome hawapo lakini Leo wote walikuepo Hadi forward jipya la mchongo... Ila NI upuuuuuzi mtupu...

Naitabiria Simba msimu mzuri na wanachukua makombe yote muhimu Kuanzia FA Hadi la Ligi kama walivobeba Ngao ya jamii kibabe....

Hata Huko kimataifa ni Tia maji Tia maji Tu hamna cha ajabu Simba ataenda robo Yanga watarudi kujipanga
Wewe ni lofa la mangungu una lolote, unaweza kuniambia yanga kupoteza mechi ngapi na kadroo ngapi? Timu Bora inapimwa kwa takwimu tuletee takwimu za timu yako iyo na yanga TUONE ni timu Gani Bora, kutoa SARE dhidi ya Kagera mnaanza kuleta ujuaji mavi kwani Kagera walienda uwanjani ili wafungwe? Kipa wao kafanya save ngapi? Muwe mnaacha utoto mpira sio mchezo wa rede na sio Kila mechi utashinda ata wenzako wanayataka matokeo vile vile ebho!
 
Back
Top Bottom