vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
1) Gamond anakosa la kuwaacha nje wachezaji wa maana na kukumbatia wakina Mzize.Kwahiyo kosa lipo Kwa Gamondi kudharau game au tukubaliane kua Yanga ina wachezaji wachache wenye viwango ambao wasipocheza hakuna tena ushindi?
2) Gamond kashindwa kuweka mazingira mazuri wachezaji wawe na fitness