Ukweli usemwe Yanga wamefika mwisho, ligi ya mabingwa sio lelemama

Mk
Mkifungwa leo mnamfuata Yanga alipo

Pambaneni mpate hata droo au ushindi leo
 
Yanga ana mechi mbili nyumbani na ya mwisho ni ugenini akishinda zote mbili atakua kwenye hali nzuri kushinda gemu ugenini hizi za Champions League ni ngumu sana ingawaje pia ukikamiwa unapoteza points tatu muhimu nyumbani...hilo Kundi bado bichi ingawaje kwa wasioujua mpira wanadhani imekwisha jana Al Ahly katoa sare home anaenda ugenini wakitoa sare huko Yanga akishinda hapa kundi litakua gumu kwa Timu zote..ila akishinda Al Ahly hapo itakua anatafutwa mshindi wa pili kati ya CRB na Yanga na kama Yanga atamfunga Medeana kwa maana hiyo atakua kabakiza gemu mbili mbichi moja home na ingine away ya CRB...
 
Miye nawaombea na mechi ya pili kule Algeria watoe tena droo
 
Yanga inachokosa ni uzoefu wa CAF champion league lakini kwa sababu ya uongozi bora chini ya rais Hersi Said watawashangaza wengi robot finalise wanafika tena kwa pints 12 na kuongozq kundi
Wewe nawe kama haujui mambo ya mpira bora ujikalie kimya heshima yako kidogo uliyonayo uendelee nayo.

Yanga hadi sasa kacheza mechi 3 kaambulia points 2. Bado mechi 3 zingine ambazo hata akishinda hawezi kufika points 12 unazosema wewe.

Kule kwa Al Ahly anakula kipigo, CRB anamkazia hapa nyumbani sare ama kipigo pia.

Huyo Medeama labda ndiyo timu pekee mnaweza kuifunga hapa nyumbani.
 
Kwahiyo kundi la Simba ndiyo kuna mshindi wa pili?
 
Mnajifariji kwa matokeo ya Yanga,matokeo ya kesho siyajui ila nina uhakika baada ya mechi ya kesho misuso ya kutokwenda uwanjani itaendelea.
Yan mashabiki wa Simba nawashangaa sana. Huku ndo wanakojifarijia🤣🤣🤣🤣 ngoja Leo. Nyuzi zote hizi zitapoa na watapotea
 
Kwenda robo sio rahis km unavyofikiri... In short Yanga wajipange msimu ujao
 
Mountains are there to be climbed.
Mountains are there to be climbed.
 
Mkuu Medeama wenyewe wanamtamani Sana yanga
 
Aliyetoa nae suluhu kakukanda 3 kwa nunge?mlijua luza kapu hii?
 
Kundi la simba lina mabingwa wa wapi au halina mabingwa?
 
Mnakata tamaa mapema Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…