Ukweli usemwe Yanga wamefika mwisho, ligi ya mabingwa sio lelemama

Atamfunga nani hapa nyumbani?
 
Mnajifariji kwa matokeo ya Yanga,matokeo ya kesho siyajui ila nina uhakika baada ya mechi ya kesho misuso ya kutokwenda uwanjani itaendelea.
Najua mnataka Simba ifeli ili tufanane. Yanga Ni Mtoto Sana kwa haya mashindano. Klabu bingwa si lelemama.

Yanga imetumia miaka 26 kukusanya pointi 2,Simba imetumia wiki 2 na mechi 2 kupata points 2.

Yanga wao Ni kukimbia tu uwanjani ili kuonekana wanaupiga mwingi. Hanna mipango. Approach ya kucheza na Geita,Dodoma jiji Ndiyo Hiyo hiyo wanaitumia klabu bingwa.
 
Maneno meengiii

Shindeni leo au mdroo

Kinyume na hapo utafanana na Yanga
 
Gamondi alikuwa anasafiria upepo wa Yanga ya Nani na upepo umeisha.

Ila Yanga ajitahidi tu awe anashika nafasi ya Pili au ya 3 ktk ligi ili akacheze shirikisho. Huku Ndiyo saizi yao.

Yanga Ni wadogo Sana mwenye klabu bingwa.

Kazi kukimbia hovyo uwanjani bila mipango Eti Ndiyo kuupiga mwingi.

Gamond hamna kocha mle!
 
Aahaaaa
Shindeni nyie leo

Labda muambulie droo,kinyume na hapo mtakuwa sehemu moja na Yanga
 
Kwani haya mashindano kwa Tanzania anashiriki Yanga peke yake? Kama mchaa mbuzi ulitakiwa pia kuichambua na simba ili tuone kama huna maslahi binafsi.
 
Unaongea au unaongeleshwa? Unajua na unachokiongea wewe? YANGA ndani ya msimu mmoja kakusanya point 20 kwenye rank za caf, Simba pamoja na kuingia robo ndani ya misimu 5 kakusanya point 35, kwa maana iyo usipende kuropoka vitu ambavyo uvijui, Kama yanga kakusanya izo point ndani ya msimu mmoja vipi misimu 2 ijayo mtakuwa na Cha kuongea mbele ya yanga nyie? Kwa timu yenu iyo ya unga unga mwana!!!
 
Kwanini iwe droo peke yake? Unaomba iwe ivyo!
Siyo draw peke yake,kwani hiyo timu uliyocheza nayo kwanini ufungwe,we uwezo wao unauona hakuna mtu mwepezi kwenye hizo hatua,ukiotewa huna chako,, jana umewaona Medeama mpira ulikuwa 50/50 ,belouizdad ndo huyo kakupiga nyumbani kwake na draw na Al Ahly ugenini,pia una mechi na Al Ahly kwao, huwezi kusema lazima huyu apigwe nyumbani matokeo inakujaga tofauti hamna timu jepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema medeama alibebwa na refarii na sio uwezo, ungekuwa uwezo walikuwa wamechapika goli 2-1
 
Utasema yoote mwaka huuuuu...furaha yenu ndip hiyo pekeeee
 
Ila huyu 5imba mwenzio aliye leta huu uzi anataka Yanga ipite? Kweli nyani haoni kundule........ Mnajifanya watabiri kwa timu isiyo wahusu, sasa kama sio kujifariji ni nini.

Sawa mimi nimetumia misimu miwili,kufika fainal za CAF Confederation,ww umetumia misimu minne kuishia robo ya tatu championship na moja shirikisho ambayo ukafanya vitendo vya aibu mpaka ukachoma nyasi za watu South Africa.

Wewe mwenye approach nzuri ina nini cha maana,mpaka sasa?

We subiria zamu yako usiku muanze kelele zenu mara hamumtaki Mangungu, mara msuse kwenda uwanjani na timu lenu bovu linacheza kam lina lazimishwa.Mda si mrefu mtasema kocha hafai,maana mechi moja mliokula tano na kocha mmemuondoa........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…