Ukweli usemwe, Yanga wametuacha Mbali sana upande wa Jezi

Jesrey zenu nzuri ndio,ila swali ni je??????KUNA MASHINDANO YA JERSEY KWENYE SOKA??KAMA YAPO HONGERENI
 
Sa sheria mgowi ni mfanyabiashara???fred ni bussines man lazima ajitangaze
 
Yaani umri huo unawaza jezi? Ingekuwa hivo polisi wa tz wasingevaa uniform zao mana ni mbaya sana. Jezi tunanunua sio sababu ya uzuri bali niuzalendo kuchangia timu. Kuna jezi mbaya kuliko zile za yanga za vinyago? Ni zilivalika sana tuu
 

Quality ya Vunja ni poor
 
Wakati nasubir jezi iliyobanduliwa mdhamini wa mchongo, nitakua navaa hii yenye nembo ya mabingwa wa Afrika.
 
Hivi umekielewa ulichokiandika?
Vunja bei sio designer wa jezi kama ilivyo kwa Sheria Ngowi Vunja bei ni Kit Supplier wa Timu ya Simba kama ilivyo GSM kwa yanga
Ngowi hana mkataba wowote na Yanga ni designer wa GSM sports na hata Vunja bei lazima ana watu wake wanamsaidia kudesign ila hajaamua kuwaweka wazi kama GSM walivyofanya kwa Ngowi
 
Duuuh sio Kwa jersey hio
 
Nilishawahi kulisema ilo suala, vunjabei asilazimishe kufanya kila kitu yeye mwenyewe atafute designer mzuri amtengenezee jezi yeye abaki kusimamia masuala ya mauzo na masoko tu. Jezi za simba hazina ubunifu kabisa. Bahati mbaya sana mashabiki wa simba walinishambulia
 
Simba na nyie tangu lini mjinga akajua mavazi, si Bora mmgeenda kwa Martin kadinda nyie mnamkimbilia mjinga ona sasa ashawapiga
 
Huna akili wewe, Sheria ngowi ni designer tu, mkataba wa kuzalisha ni wa GSM au hujaona Lebo za GSM kwenye jezi? Vunja bei ni sawa na GSM kwenye masuala ya jezi
 
kweli utopolo mwenye akili ni baba ake manara na kikwete tu sasa Vunja bei ndo main kit sponsor anatoa bilion moja kwa msimu na ndo mtengenezaji je sio haki kujitangaxa sheria ngowi ni mfanyakazi wa gsm sasa yeye sheria ngowi anaipa yanga kiasi gani?
 
Akili mufilisi kabisa. Sheria ngowi ni designer tu wala sio manufacturer na msambazaji wa jezi. Vunja bei ni kama adidas au umbro nk ambao wanadesign, kutengeneza na kusambaza jezi za timu na huwa wanaweka chapa zao, ni kawaida.
 
Huna akili wewe, Sheria ngowi ni designer tu, mkataba wa kuzalisha ni wa GSM au hujaona Lebo za GSM kwenye jezi? Vunja bei ni sawa na GSM kwenye masuala ya jezi
na alivo mjinga anaandika kabisa kwa herufi kubwa kweli wenye akili utopolo watu wawili tu kikwete na baba ake manara.
 
Kwani Sheria Ngowi Yanga ana nafasi kama Vunja bei Simba?

Kwamba Sheria awe amepewa tenda ya kutengeneza na kusambaza kama ilivyo Vunja bei?
 
Huu Uzi kuna watu wanasonya na kutema mate kama Wana mimba changa.. eti Kalpana unazungumziaje hili suala?
Hahaaa sasa wanasonyaje jamani..kwani Jezi za Simba wanataka ziweje? Mm naona zina shine tuu kawaida...mimi nina penda jezi nyeupe hazina mbwembwe nyingi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…