Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Na tutanunua na tutavaa...Low price Huendana na low quality.. Sasa jezi ya 50,000/= Huwezi linganisha ubora na matambala ya 35,000/=
Yaani Mikia [emoji881] safari hii mmepigwa za Uso kwelikweli
Haya matambala ingefaa muuziwe hata efu 7500/=, Jezi kama gagulo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyoka nyie