Ukweli usemwe, Yanga wametuacha Mbali sana upande wa Jezi

Ukweli usemwe, Yanga wametuacha Mbali sana upande wa Jezi

Kwani kuna kiongozi wa Simba amelalamika kuwa VB hawaletei bidhaa za viwango?

Tatizo mnataka mvae jezi mnapoenda club, kwenye harusi, kwenye misiba.....

Na kama ni quality ya material, mdogo mdogo tu atafika huko. Kumbuka Simba iliamua kumpa nafasi na kumkuza mzawa mwenzetu ili baadae tuwe na adidad na nike za kwetu. Ungeniambia jezi inachanika hovyo au inavuja rangi ningekuelewa.
Jezi zenu mbaya hauwezi ukazilinganisha na za mtani wenu kwa namna yoyote fanyeni marekebisho kaeni na vunjabei mwambieni atafute designer mzuri kama sheria ngowi. Visingizio havitawasaidia
 
Jezi zenu mbaya hauwezi ukazilinganisha na za mtani wenu kwa namna yoyote fanyeni marekebisho kaeni na vunjabei mwambieni atafute designer mzuri kama sheria ngowi. Visingizio havitawasaidia
Sheria Ngowi ni designer wa suti hana historia ya kudesign jezi au vifaa vya michezo, kila anachofanya pale Yanga sasa ni experimentation na mpaka sasa amebugi kuliko alipopatia. Nasema tena na tena, design ya jezi bora ni u simple wake. Kucopy abstract patterns na kupachika kwenye jezi hata wewe unaweza kufanya.

Ukitaka kujua mapungufu ya Sheria, angalia jezi ile ya kijani. Kwa mbali ni kali ila ukiisogelea unakutana na maandishi jezi nzima ya "Yanga". Hauwezi kukuta professional designer wa jezi akafanya kitu kama kile. Angalia ile ya njano ambayo logo ya mdhamini imemezwa hata haionekani. Unadhani watu makini wanaweza pitisha kitu kama kile?
 
Sheria Ngowi ni designer wa suti hana historia ya kudesign jezi au vifaa vya michezo, kila anachofanya pale Yanga sasa ni experimentation na mpaka sasa amebugi kuliko alipopatia.
Sheria ngowi ni fashion designer sio suti hata anadesign mavazi ya aina yote ya wanaume nenda kaangalie vizuri profile yake
Angalia ile ya njano ambayo logo ya mdhamini imemezwa hata haionekani. Unadhani watu makini wanaweza pitisha kitu kama kile?
Tafuta jezi nyeupe za arsenal uone logo ya mdhamini haionekani kabisa jezi nyeupe maandishi meupe.

Ubora na ububifu wa jezi za yanga hata simba wenzako wanaukubali hata ivyo sikumaanisha na vunjabei nae pia amtumie sheria ngowi ninachomaanisha atafute designer mzuri
 
Sheria ngowi ni fashion designer sio suti hata anadesign mavazi ya aina yote ya wanaume nenda kaangalie vizuri profile yake

Tafuta jezi nyeupe za arsenal uone logo ya mdhamini haionekani kabisa jezi nyeupe maandishi meupe.

Ubora na ububifu wa jezi za yanga hata simba wenzako wanaukubali hata ivyo sikumaanisha na vunjabei nae pia amtumie sheria ngowi ninachomaanisha atafute designer mzuri
Hizi logo za Arsenal ndiyo ukalinganisha na hizi za Yanga? Tena siku VB akija na plain white haina hata patterns kama hiyo ya Arsenal si ndiyo mtamnyonga kabisa.

images - 2023-02-08T162816.110.jpeg

images - 2023-02-08T162925.026.jpeg
 
Hizi logo za Arsenal ndiyo ukalinganisha na hizi za Yanga? Tena siku VB akija na plain white haina hata patterns kama hiyo ya Arsenal si ndiyo mtamnyonga kabisa.

View attachment 2510465

View attachment 2510466
Jezi za yanga iyo picha imepigwa kutokea umbali mrefu na mwanga hafifu zaidi ya iyo ya arsenal leta picha ambazo zimepigwa kutokea umbali na mwanga unaofanana.. ila mzee mwenzangu asikwambie mtu jezi za yanga tamu
 
Yanga wametuacha mbali kwenye jezi. Ukiona unapinga kila kitu hata kama ni kizuri jua wewe ni mchawi au utakuja kuwa mchawi
 
Jezi za yanga iyo picha imepigwa kutokea umbali mrefu na mwanga hafifu zaidi ya iyo ya arsenal leta picha ambazo zimepigwa kutokea umbali na mwanga unaofanana.. ila mzee mwenzangu asikwambie mtu jezi za yanga tamu
Jezi zote duniani, logo unaiona clearly hakuna cha umbali mrefu wala nini na siyo mpaka ukae kwenye angle fulani. Hiyo nimetuma ni official promo photo kwa hiyo hakuna kisingizio cha mwanga hafifu.

Halafu hivi ni Haier au Ha ier? Haya ndiyo mambo mnataka siyo na tracksuit za matone ya mvua?

20230208_224726.jpg
 
View attachment 2510921
Sawa mkuu umeshinda
 
Hivi Uongozi wa Simba kwanini usitoe masharti kwa Vunja bei yenye kumfanya atengeneze jezi zenye viwango vyao klabu kama Simba? Yaani kitendo cha kumpa mkataba ambao haumbani ndio kinachofanya tuletewe haya madekio ambayo hata sokoni yataenda kudoda.

Jezi hazina ubunifu wowote, jezi hazina ubora wowote yaani ni Bora liende tu. Kwa kuwa mtani kazindua jezi eti nayeye vunja bei ili asionekane yupo nyuma nayeye kaleta matambala yake sokoni..

Kiufupi vunjabei anapaswa ajitafakali maana jezi za hii miaka miwili ya udhamini wake ni takataka sana[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]View attachment 2509772
😂😂😂 Kwanza Ncheke mie ukichimama nchale ukitembea nchale ukikaa nchale ukigeuka nchale ukihema nchale ukiinama nchale ukitema mate nchale ukimeza mate nchale yaan uchimeze Wala uchimung'unye
 
Yanga Wana Jezi kali saaaaana acha ubishi mkuu, hata wewe unaliona hilo Sheria Ngowi yupo vizuri kuliko Fred Fabian
Tafuteni mbunifu wa jezi acheni ubishi. Mkitaka suti ndiyo mumtafute mshkaji. Eti kwa kuwa mtu ni mbunifu wa mavazi ndiyo mnategemea atakuwa anajua kudesign kila aina ya nguo.
 
Jamaa hajawahi kuBUGi Jezi anatoa kali usipingane na ukweli Sheria Ngowi hafanani na Fred Fabian
Sawa. Mkikua mtaelewa tu. Na yeye kuna siku atakuja kuangalia ubunifu aliokuwa anawafanyia itabidi acheke tu.
 
Sawa. Mkikua mtaelewa tu. Na yeye kuna siku atakuja kuangalia ubunifu aliokuwa anawafanyia itabidi acheke tu.
Uzi wa Yanga sio uwongo ni mzuri hata kwa kuuangalia tu unafurahi 😂
 
Kun wanachama na kuna mashabiki afu mashabiki huwa wanaongea sana wakat ata kuchangia kadi ya chawa wameshindwa

Nazan anzeni kwanza kwa kua wanachama af ndo muanze kuhoji mkiwa ktk vikao ya klabu
 
Back
Top Bottom