Ukweli usiosemwa: Kwa Tanzania, UTAPELI ni Biashara iliyohalalishwa kabisa isipokuwa kwa wenye mamlaka tu

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
4,928
Reaction score
8,976
Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana.

Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa.

Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda.

Suala la kujilinda ni jukumu lako binafsi.

UTAPELI unaoendelea kugeuka kuwa maisha ya kawaida.

=========
1- Biashara za upatu kama DECI, QNET, JATU, GNLD, KALYNDA.
- Biashara hizi zinapata vibali vyote mpaka kuzinduliwa na wanasiasa.

2- Biashara za michezo ya kubahataisha kama TATU MZUKA, MCHONGO PESA, CHOTA MIHELA.
- Hapa wanaohusika ni Media na mitandao ya mawasiliano. Tanzania kuibiwa na mitandao ya simu ni kitu cha kawaida tu na hakina msaada utapata.

Mitandao ya simu ni rahisi kukunganisha huduma kama MDUNDO, SMS na kuqnza kukata pesa bila idhini yako.

3- Herbalist UTAPELI ndio kazi yao. Kuambiwa utoe LAKI 3 upewe kidumu cha dawa ni kitu cha kawaida.

4- ARDHI.
- Huku KUMEOZA na KUNANUKA kabisa.
 
Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    10.1 KB · Views: 23
Hii Bongo ndugu yangu.
Kila mmoja anapigania uhai wake na watoto wake tu
Cc: bongo nyoso inamankusweke Naantombe Mushi

Ishi kwa akili zako ukiishi kwa akili za kushikiwa utapigwa sana za uso, kuna yule mbunge alikua analalamika pesa zinaliwa huko mkoa wa Mara hadi akasema mnaonaje yeye apewe uwaziri wa Tamesemi means serikalini matapeli wapo wanakula 10% za wananchi na hawafanywi kitu

Watu8
 
Unawezaje kutumia akili zako ili usioigwe kwenye UTAPELI kama:
  • MTU kakuuzia ardhi, umeondoka anamuuzia MTU mwingine na mwingine na mwingine???!!!
  • Umweka salio kwenye simu, unakatwa Tsh 100 kulipia huduma ambayo hujawahi kujiunga???
 
Huo ni mkono wa Serikali mkuu, na kuna mbunge niliwahi kumsikia akisema Sheria zinazofuatwa bila kutokufuata ni zile Natural Laws only yaan za kwenye Bible na Qur'an hizi Sheria zingine zilizotungwa na mwanadamu zinaweza zifuatwe au zisifuatwe, kwa hio akili kichwani mwako
 
Akili kichwani kivipi?

Yaani hapo MTU anatakiwa atumie akili kivipi?
 
Mkono wa serikali mkuu narudia tena mkono wa Serikali tumia mkono wa Serikali na wewe upige pesa acha kulialia, wenzako wanatumia mkono wa Serikali kupiga Pesa na hawafanywi kitu ndio maana nikakwambia akili kichwani mwako
 
Nadhani hapa nazungumzia namna Biashara za UTAPELI zilivyohalalishwa.

Sijasema natafuta pesa kwa mbinu yoyoye.
 
Magazeti, media zimejaa matangazo ya utapeli ya FREEMASON na UBASHIRI.
 
Back
Top Bottom