Ukweli usiosemwa: Yanga alitoka droo na raja hapa DSM mwaka 1998

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana).

Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3.

Je, Morocco watapigwa ngapi?
 
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 0-0(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana). Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3. Je Morocco watapigwa ngapi?
Si kweli, haikuwa 0-0 bali 3-3. Ukweli katika post yako ni Yanga kufungwa 6-0. Mwaka huo katika mechi sita, Yanga alifungwa jumla ya mabao 19

1676876417858.png
 
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 0-0(Najua hujawahi kuisikia hii) .
Ukaweka na msisitizo kabisa kuwa eti Najua hujawahi kuisikia hii, kumbe uongo mtupu! Rudi kwa aliyekusimulia umwambie asirudie kukuingiza chaka
 
[emoji3][emoji3]
 
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 0-0(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana). Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3. Je Morocco watapigwa ngapi?
Zidisha mara 3*6, jibu ndo atakalochezea kichapo Simba
 
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 0-0(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana). Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3. Je Morocco watapigwa ngapi?
Wanatafuta madhaifu tu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 0-0(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana). Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3. Je Morocco watapigwa ngapi?

Ukute haujazaliwa mwaka huo
 
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana).

Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3.

Je, Morocco watapigwa ngapi?
naiona kabisa 12 nunge
 
.
FB_IMG_1676525459195.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ukishashiba uji unapua ovyo
 
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana).

Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3.

Je, Morocco watapigwa ngapi?
Halafu yanga ikamaliza ya ngapi kwenye kundi?
 
Back
Top Bottom