Wazee wa historia, juzi tu hapa Al Hally vs sundown 2-5, soccer linamatokeo matatu,Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana).
Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3.
Je, Morocco watapigwa ngapi?
Liverpool vs man u(?) Ni vitu vya kawaida sana. Sasa mpaka kaburi la 1998 unafukua??