Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana).
Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3.
Je, Morocco watapigwa ngapi?