Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Pole sana.wewe ulikua unacheza cheza wala hukua unafanya biashara bali kuiga iga na kukimbizana na maneno ya fursa.Biashara ni nyepesi kwenye makaratasi na Sio field.
Jumla ya pesa nilizopoteza kwenye aina 15 za biashara kwa muda wa miaka 15 zinafika milion 300 na hata faida ya shilingi 100 sijawai pata.
Ningepoteza kwenye bata nisingeumia
Biashara 15 ndani ya miaka 15..?? What the hell??