Ukweli usioujua kuhusu biashara

Ukweli usioujua kuhusu biashara

Biashara ni nyepesi kwenye makaratasi na Sio field.
Jumla ya pesa nilizopoteza kwenye aina 15 za biashara kwa muda wa miaka 15 zinafika milion 300 na hata faida ya shilingi 100 sijawai pata.
Ningepoteza kwenye bata nisingeumia
Pole sana.wewe ulikua unacheza cheza wala hukua unafanya biashara bali kuiga iga na kukimbizana na maneno ya fursa.
Biashara 15 ndani ya miaka 15..?? What the hell??
 
Ungewahi fanya biashara usingeropoka.
Hakuna mtu anatoa pesa ili zipotee
Nakubali brother.Uko sahihi lakini anything needs time.Wafanyabiashara woote waliofanikiwa kwa uhalali na uharam pia hawajafanya biashara kwa less than 3 years...Chunguza kaka utanielewa.

Am the emerging buznes person and still learning while growing.Huu ni mwaka wangu wa 3 almost toka niache ajira though mimi sifany hiz buashara za kununua na kuuza kupata faida
 
Experience is capital
 
Hizo jeans zinakuwa zishaoza kwahiyo wanachofanya wanawapa wale wanangu wanaomwaga chini wapige mnada. Au wao wenyewe wanakuonesha jeans ya sample unaiona ipo fresh ila kwenye kufungiwa sasa ndo unapewa zilizooza.

Ilinikuta hiyo 2020 nikachukua mzigo wa duka wa kutosha, nilichokutana nacho sitokuja kusahau daima. Ndo maana siku hizi nikitaka kununua kiwalo dukani lazima nikikague kama vile kina kunguni
Si kweli kimbaa ni kilaini mno halafu ni la kuvutika linachanika kama karatasi
 
Hapo kwenye cement ni mwendo wa kupiga bomba kila mfuko unapunguzwa 5kg hadi 10kg

Kwenye nondo kuna nondo za kimagumashi kuanzia ubora mdogo na dimensions za uongo, utakuta nondo ya 12mm iko kama ya 10mm. Na zinauzwa bei sawa na zile zenyewe mafundi ndo huwa wanazitambua
Kwenye Cement ikipunguzwa Kg 10 unakuwa umeharibu na ni lazima ushitukiwe, magendo huwa hayataki tamaa.

Ukiwa na mzigo mkubwa mfano mifuko 1000 ya Cement, ukipunguza 2Kg tu unatosha sana kupiga hela maana unakuwa umetengeneza 2000kg za wizi ambazo ni sawa na mifuko 40 ya cement.

Ukitoa 2Kg ni ngumu sana mtu kushtuka ila ukiwa na tamaa ya kutafuta 10Kg ni lazima udakwe tu.
 
Pole sana.wewe ulikua unacheza cheza wala hukua unafanya biashara bali kuiga iga na kukimbizana na maneno ya fursa.
Biashara 15 ndani ya miaka 15..?? What the hell??

Huyo kalete story za kahawa tu kufurahisha genge, biashara 15 ndani ya miaka 15 tena zilizoleta hasara ya zaidi ya 300+ millions ni uongo, maana hapo tunazungumzia wastani wa kila mwaka na biashara mpya.

Labda kama ni zile biashara za kuuza karanga, pipi na mahindi ya kuchoma, of which bado haziwezi ku-operate kwa mtaji mkubwa hivyo (300+M).
 
Mkuu watu wana pesa niamini mimi na hawajui pa kuzipeleka.Pesa za kuchota tu pale bandari za wiz wiz kias kwamba wana tafuta kila namna ya kuzi justify ndio maana mtu anaweza asione shida kufanya anachofanya. Kwahiyo inawezekana jamaa ni kwel ame attempt hizo buzness as said ila bado kanuni na misingi ya biashara haikuzingatiwa
 
Back
Top Bottom