TOP 4 Reasons why jesus is not God.Unaona sasa kwenye shina la mtende ni tofauti kabisa na Yesu wa bible yeye hakuzaliwa kwenye shina la mtende ndugu
Hivi Yesu ndo Jesus !?Nilimsikiliza sheikh kipozeo wakati akimzungumzia dimondi
Sina shida na alichosema kuhusu huyu mtoto wa Kiislamu bali kilichonifanya niandike haya ni maneno yake kwamba dimond kuvaa msalaba anakubali kuwa Isa alisulubiwa wakati wao Waislamu wanaamini Isa hakusulubiwa
Huenda alichosema ni sahihi kabisa lakini kuna vitu akawa havielewi
Isa = zeruzeru
Yesu = mkombozi
Au Kiebrania yehosua = Mungu mkombozi
Historia inatueleza Isa alizaliwa katika chini ya mti wa mtende lakini qurani haitaji nchi ila inasema alizaliwa mchana na mama yake ni Mariamu
Hii ni stori tofauti na inayotupa bible
Kiarabu Yesu inatamkwa Yasu na sio Isa kama Waislamu wanavyowaaminisha wenzao kuwa ni Isa
Historia ya bible inasema Yesu Kristo au Yasu kwa Kiarabu alizaliwa nchini Israeli,katika mji wa Bethlehemu na katika hori la ngo'mbe hiyo ni bible inasema hivyo
Ukiangalia kwa makini huyu Isa utagundua sio Yesu kabisa na hata kuzaliwa kwao ni tofauti na hata walichokuja kuhubiri ni tofauti
Isa alikuja kuhubiri dini mpya ya mwenyezi Mungu kwa mujibu wa historia
Wakati Yesu alikuja kuwakomboa watu na dhambi zao
So kuanzia leo Waislamu wajue Yesu sio Isa kama wanavyoaminishwa
Na wala Isa sio Yesu kama wanavyoaminishwa
Nawasilisha tu
Hawa jamaa wanajuaga number za nyimbo tu kwenye misale, leo anamkosoa Kipozeo ! Huyu mrombo hovyo kabisa eden kimarioHahahaa hicho kiarabu cha Yasu ni rombo mashati au tarakea?
Na waisraeli wanasema wakiristo ni makafiri wanamwabudu mwanaharamu Yesu !BADO NAIFUATILIA ASILI YA WAARABU NA WAISRAELI.KUNA JAMAA HAPA WANASEMA MITUME WALE WAISRAELI KUWA NI WAO WAKATI HUO HUO WAO WANAWAITA WAISRAEL MAKAFIRI....
Kuna mada nitaileta itawavunja vunja na kuwasambaratisha hao watu.STAY TUNED
.....kwahiyo Yesu ni mwana wa Joseph fundi seremala !Yesu alisulubiwa wakati issa alipaa,kweli ni watu wawili tofauti.Issa anaitwa Issa bin Mariam wakati Yesu anaitwa mwana wa joseph.
Wewe Unao ushahidi kuwa Yesu alikuwepo !?Hakuna ushahidi pia kwamba wakati Yesu anazaliwa na Isa nae alikuwepo
Lete aya ya Biblia inayosema mbinguni hakuna kuoa !Tafuteni kitabu kilichoandikwa na Dr Malise Kaisi kiitwacho " je issa ndio yesu"? Hakika ni watu wawili na tofauti na walikuwa na mafundisho tofauti. Wakati biblia inasema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa quorani inasema wanaume watakabidhiwa mabinti bikra kuwaoa. Hao watu hawawezi kuwa sawa.
Umeyapata wapi haya !?Kwanza huu ni ufreemasons
Unamwakilisha shetani kwa kuwa shetani alihisi atammaliza Yesu kwa kumtundika msalabani kumbe hakujua Yesu anautumia msalaba kufikia lililonenwa na nabii atapata mateso mengi na kuuawa na siku ya tatu atafufuka
Usitoke nnje ya mada hii ni mada nyingineHivi Yesu ndo Jesus !?
Kwanini aitwe Jesus ?
Biblia ni kitabu cha nani ? (maana Yesu alpewa Injil na ndani ya Biblia haimo!)
Anzia hapo bwana eden kimario
Yesu alisulubiwa,akafa msalabani,akazikwa,akafufuka baada ya siku 2 kupitaYesu alisulubiwa wakati issa alipaa,kweli ni watu wawili tofauti.Issa anaitwa Issa bin Mariam wakati Yesu anaitwa mwana wa joseph.
Soma majibu ya Yesu mwenyeweLete aya ya Biblia inayosema mbinguni hakuna kuoa !