Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

Unaona sasa kwenye shina la mtende ni tofauti kabisa na Yesu wa bible yeye hakuzaliwa kwenye shina la mtende ndugu
TOP 4 Reasons why jesus is not God.
 

Attachments

  • Top_4_reasons_why_Jesus_in_NOT_GOD_480P-reformat-16842960.mp4
    Top_4_reasons_why_Jesus_in_NOT_GOD_480P-reformat-16842960.mp4
    15.3 MB · Views: 14
  • Screenshot_2017-10-30-10-02-09.png
    Screenshot_2017-10-30-10-02-09.png
    457.7 KB · Views: 22
Japan rejected religion adapted Western technology. Africa rejected Western technology adapted religion. Matokeo yake ndo mazuzu Kama haya badala ya kukubali kijana anapiga hatua wanaaza malumbano ya kijinga.
 
Nilimsikiliza sheikh kipozeo wakati akimzungumzia dimondi
Sina shida na alichosema kuhusu huyu mtoto wa Kiislamu bali kilichonifanya niandike haya ni maneno yake kwamba dimond kuvaa msalaba anakubali kuwa Isa alisulubiwa wakati wao Waislamu wanaamini Isa hakusulubiwa

Huenda alichosema ni sahihi kabisa lakini kuna vitu akawa havielewi

Isa = zeruzeru
Yesu = mkombozi
Au Kiebrania yehosua = Mungu mkombozi

Historia inatueleza Isa alizaliwa katika chini ya mti wa mtende lakini qurani haitaji nchi ila inasema alizaliwa mchana na mama yake ni Mariamu
Hii ni stori tofauti na inayotupa bible

Kiarabu Yesu inatamkwa Yasu na sio Isa kama Waislamu wanavyowaaminisha wenzao kuwa ni Isa

Historia ya bible inasema Yesu Kristo au Yasu kwa Kiarabu alizaliwa nchini Israeli,katika mji wa Bethlehemu na katika hori la ngo'mbe hiyo ni bible inasema hivyo

Ukiangalia kwa makini huyu Isa utagundua sio Yesu kabisa na hata kuzaliwa kwao ni tofauti na hata walichokuja kuhubiri ni tofauti

Isa alikuja kuhubiri dini mpya ya mwenyezi Mungu kwa mujibu wa historia
Wakati Yesu alikuja kuwakomboa watu na dhambi zao

So kuanzia leo Waislamu wajue Yesu sio Isa kama wanavyoaminishwa
Na wala Isa sio Yesu kama wanavyoaminishwa

Nawasilisha tu
db22e02e5263d2c889b2e2e4cec506fa.jpg
Hivi Yesu ndo Jesus !?
Kwanini aitwe Jesus ?
Biblia ni kitabu cha nani ? (maana Yesu alpewa Injil na ndani ya Biblia haimo!)
Anzia hapo bwana eden kimario
 
Yesu alisulubiwa wakati issa alipaa,kweli ni watu wawili tofauti.Issa anaitwa Issa bin Mariam wakati Yesu anaitwa mwana wa joseph.
 
BADO NAIFUATILIA ASILI YA WAARABU NA WAISRAELI.KUNA JAMAA HAPA WANASEMA MITUME WALE WAISRAELI KUWA NI WAO WAKATI HUO HUO WAO WANAWAITA WAISRAEL MAKAFIRI....
Kuna mada nitaileta itawavunja vunja na kuwasambaratisha hao watu.STAY TUNED
Na waisraeli wanasema wakiristo ni makafiri wanamwabudu mwanaharamu Yesu !
 

Attachments

  • IMG-20171011-WA0007.jpg
    IMG-20171011-WA0007.jpg
    67.8 KB · Views: 27
Tafuteni kitabu kilichoandikwa na Dr Malise Kaisi kiitwacho " je issa ndio yesu"? Hakika ni watu wawili na tofauti na walikuwa na mafundisho tofauti. Wakati biblia inasema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa quorani inasema wanaume watakabidhiwa mabinti bikra kuwaoa. Hao watu hawawezi kuwa sawa.
Lete aya ya Biblia inayosema mbinguni hakuna kuoa !
 
Kwanza huu ni ufreemasons
Unamwakilisha shetani kwa kuwa shetani alihisi atammaliza Yesu kwa kumtundika msalabani kumbe hakujua Yesu anautumia msalaba kufikia lililonenwa na nabii atapata mateso mengi na kuuawa na siku ya tatu atafufuka
Umeyapata wapi haya !?
 
Yesu alisulubiwa wakati issa alipaa,kweli ni watu wawili tofauti.Issa anaitwa Issa bin Mariam wakati Yesu anaitwa mwana wa joseph.
Yesu alisulubiwa,akafa msalabani,akazikwa,akafufuka baada ya siku 2 kupita
Kisha akapaa mbinguni alikotoka mwanzo
 
Lete aya ya Biblia inayosema mbinguni hakuna kuoa !
Soma majibu ya Yesu mwenyewe
Nyinyi mmekosea kwa sababu hamuyajui maandiko matakatifu wala nguvu ya Mungu mkuu
Maana wafu watakapofufuka hawataoa, wala kuolewa bali watakuwa kama malaika mbinguni
Hapo Yesu alikuwa akiwajibu Waislamu na Mafarisayo wasioyajua maandiko wala nguvu ya Mungu Mathayo 22/29-33
 
Back
Top Bottom